Kupokea ujumbe wa SMS Sim ikiwa haipatikani.

Kupokea ujumbe wa SMS Sim ikiwa haipatikani.

Barantogwa

Senior Member
Joined
May 3, 2014
Posts
147
Reaction score
193
Wadau naomba msaada wenu, nahitaji kujua nifanye nini ili niwe napata ujumbe wa SMS za watu waliokuwa wamenipigia pale simu yangu inapokuwa haipo hewani?
Natanguliza Shukrani zenu wakuu. natumia Voda na Tigo.
 
Tigo imeharamishwa kama sikosei!
 
WasIliana na service provider watakuwezesha
 
Kama unatumia vodacom inawezekana tigo kidogo hawaeleweki wanaweza wakakutumia ama waskutumie.
 
Back
Top Bottom