Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Unaweza ku-share analysis kati ya mapato ya nyumba za kupangisha na mapata yatokanayo na UTT?

Nyumba inategemeana na mambo mengi lakini UTT naijua vizuri hamna kitu ni very iliquidy assets.


Hivi kwanini watz hatuwazi uwekezaji wa kidunia ,sio lazima uwekeze tz.

Apple tangu 2004 imepanda 46000%


And tesla is going to do the same
 
This is nice. Natamani ungeshusha uzi kuhusu hiki kitu na pia kuweka list ya vitabu ambavyo vinaweza kumpa mtu pathway ya ku achieve hivi vyote. Najua most Africans dnt like to read, but kuna baadhi ambao watabenefit.
All in all hongera sana kwa haya maelekezo. Yamenikumbusha kuhusu kitabu cha "contagious."
Mkuu yaani huwa nauliza mtu kuwa mbona technique za kuipata mbususu ama pornography mtu anaweza akapata akajiburudisha ubongo wake ambao hauna shukrani. Koneksheni ya maza j mtu anafanya juu chini anaipata so hata haya maarifa if she/he is so thirsty to get them so he/she will get them.
What I trust and I know if you truly desire something you'll get it and you'll find a way to get it so nothing is impossible.am not different from anyone else but what I gave a fakio is to stop searching to feed my euphoria side and seeking pain instead of pleasure.

Yaani badala ya kucheki man u, arsenal,Simba na yanga,mond akatoa Albamu gani,Mara wema Leo akachepuka na Nani ama Kuna koneksheni gani ili niupe dopamine ubongo wangu Mana naujua kuwa Ni pleasure seeking machine and pain avoidance machine.

So Nika reverse hizo kazi za ubongo instead of searching pleasure nikasachi pain badala ya ku Avoid pain mie Nika avoid pleasure.
Am not so special,am not good at all,am loser,am faking idiot, stupid, foolish of all ,am the failure of all in this planet. Am always losing in any game
 
Apple tangu 2004 imepanda 46000%
This is a probability numbers game unajua Ni kampuni ngapi zimeanguka mpaka zero watu wanapoteza share zao achana kucheki iyo iliyopanda Kama Bitcoin. Do you've any mechanism when things go against what you planned. Hii sio wabongo tu hata wazungu Ni ya Moto kwao
 
This is a probability numbers game unajua Ni kampuni ngapi zimeanguka mpaka zero watu wanapoteza share zao achana kucheki iyo iliyopanda Kama Bitcoin. Do you've any mechanism when things go against what you planned. Hii sio wabongo tu hata wazungu Ni ya Moto kwao
Hizo bitcoin ,dogecoins n.k ni kama gambling tu na kuna siku zitakuja kuwalaza watu na viatu kama ilivyotokea recession mwaka 2007-2009.
 
This is a probability numbers game unajua Ni kampuni ngapi zimeanguka mpaka zero watu wanapoteza share zao achana kucheki iyo iliyopanda Kama Bitcoin. Do you've any mechanism when things go against what you planned. Hii sio wabongo tu hata wazungu Ni ya Moto kwao

Hakuna asset ambayo ni risk free kasoro bond.

Kwa mimi namshauri mtu kununua hisa za makampuni ya USA (apate elimu kwanza) kuliko kununua hisa sijui za voda au jatu ambazo ukitaka kuziuza unakosa wateja
 
Naomba niongelee hapa sio kuwa naku attack Bali naongelea iyo Hali ya ubongo kila mtu anayo Ila inatakiwa ujue why una feel ivyo.


Yaani hao wamesoma economic behavioural,wanajua how human being do we behave financially or when money comes in line as Engineer understands how the materials like iron,concrete , asphalt and soil behave when subjected into heat,snow,rain or conditions that may affect them functionality.
The same hao jamaa wamesoma how to play with your limbic brain /emotions minds. Najua huwezi nielewa kwa normal brain Ila you need another eye to see into what am talking.



Sasa hapo wanacheza na your limbic brain especially amygdala ambayo Ina bypass information into thinking brain so unakuwa unaamuwa emotionally na usikute unawekewa na mwanamke hapo bonge la kifaa mazafaka sketi iko juu ya goti na paja jeupe lazima udindidindiii, titi Ilo limekubali even hata Plastic surgery liko saa sita na akaku hug ama mkakaa naye kwa sofa la watu wawili Mara hapo Kuna tv Ina movie ama nyimbo matata laini hata Celine Dion. Mtt ananunua perfume anaonekana Kama anajikomba kwako ili akufahamu anakujaza hapo kuwa unaonekana kuwa wewe Ni hard worker let say Johnson,una kazi nzuri anakuwa anakusifiasifia na kukushika bega smt.



Sasa wakisha trigger emotion fulani ndani ya ubongo wako ambayo Ni kutokana bodychemistry ambayo inakufanya unakuwa na rah,furaha mno ,unajisikia kuwa wewe ndiye kidume umependwa umeshobokewa na mtt mkali na kishakuomba namba ama amekuomba business kadi.
Iyo chemical inaitwa dopamine ambayo inakufanya una feel euphoria yaani kuwa euphoria Ni kuwa juu ya dunia ,you can walk on the water, you're better than any human being.
So iyo euphoria inafanya kazi yake inachochea na wewe unakuwa na ego Tena Ile ya kujiona kidume kuwa umeyawezea maisha u mjanja na mwerevu kuliko Elon Musk ama adani Kama sio Jeff Benzos.




Sasa ukishakamatwa na hizo two human emotions huchomoki nakuapia niga. Utashangaa umepewa interests ndogo mno even ya 4-8% per year. Unawapa hizo 500M kiulaini na huku ukapewa viji incentives fulani like crdb/nmb hat,tisheti,begi,kalamu,kikombe,n.k huku na maneno kedekede just to feed your ego those words are fodders to filll your bank accounts of your ego and euphoria yako lakini huku wao waki fill their bank accounts za hela wewe una fill bank account of your emotions ndugu. Hili Ni kweli tupu.




Sasa si umewapa hela kwa kukufanya uwe kidume na mtt mkali anapiga marashi ambayo Ana Oda uk direct yanakuja na flight yaani utadhani yametoka kuzimu na umekaa room iliyo na ac na air fresh yenye harufu nzuri kwa ajili ya ku trigger your stressors/organs sensory zako.

Baadaye wanapata lijamaa moja wanalitembelea lenye assets na cash flow ya Mana na huyo huyo mdada Tena wanaweza wakamfuata na v8 wakamshawishi Kuna 500M jaza fomu uchukue hela tupatie 15- 20% interest kwa mwaka.


Sasa cheki wenzako waliosoma unadhani walienda kuuza sura chuo na kuwaza deodorant
We we unapewa 5/100 times 500M kwa mwaka unakitu like 25M tow 10% withholding tax bet yako Ni 22.5M ukigawa kila mwezi almost wanakuwa wanakupa kitu Kama 22.5/12 =1.875M.

Wao net yao Sasa kwa aliyekopeshwa tuje 15/100 times 500M wanayo 75M wakitoa ya kwako 25 wanabakia na 50M. Kwa miaka mitano wanayo 250M almost half bilioni huku wewe unayo 125M.

Sasa cheki ilo gepu kwa ujinga wako wa kupewa chai or tangawizi ya asali na keki ama na biscuits za asa mour. Gharama zake wewe umepoteza nyingi wao wanapata nyingi.


Financial literacy imefichwa kwa wachache mno.
Elewa Kuna automatic maneuvering among ourselves,bear in your mind people eats people always. We're no any different from how predator kills and eats prey. So where are you in financial chain are you prey or predator. Kuwa predator you've to be strong both mind, mental and brain.


Naomba mno nipate billions of dollars niajiri watu yaani Basi tu wafanyakazi wangu watakuwa wananifurahia wanagkmbania Kuja kufanya kazi kwangu.


Mana I know what people need.



So usijione kuwa u mjanja ama Ni Raha kumbe Ni vice versa. Wao wanapeleka watt wao uk Sydney Madrid Paris kusoma wa kwako unapeleka kwa mtoghole tandika wanaishia udsm unajiona u kidume.
Limbic, amygdala, dopamine, euphoria
 
How about inflation don't affect this or about recession.
So Bora ubakie na sentence yako ya kwanza.

Sasa Kuna risk zingine Ni familiar kwa watu how to deal with them.

Sasa hii Ni biashara ambayo inatakiwa uwe kidogo na kashule kuhusiana na stocks ama nakosea.
Mana hii Bibi yangu haiwezi ifanya labda atumie mtalaaamu aliyedhibitishwa pia nikubali kuwa Kuna hasara naweza nikapata. Ila Sasa hapo kwa loss remember how we are risk averse.
 
Nyumba inategemeana na mambo mengi lakini UTT naijua vizuri hamna kitu ni very iliquidy assets.


Hivi kwanini watz hatuwazi uwekezaji wa kidunia ,sio lazima uwekeze tz.

Apple tangu 2004 imepanda 46000%


And tesla is going to do the same
Nawezaje kufanya uwekezaji uko Apple au Tesla. Toa elimu mkuu
 
Hizo bitcoin ,dogecoins n.k ni kama gambling tu na kuna siku zitakuja kuwalaza watu na viatu kama ilivyotokea recession mwaka 2007-2009.
Everything is the gambling ingawa I don't do those coins Ila nimejikita kuwa kila kitu Ni gambling. Rich people lose a lot of money than normal poor man.


Niambie kipi sio gambling tujikite hapa tubadilishane beliefs zetu
 
Ukiweka milioni 200 leo hii kama ilikuwa na uwezo wa kununua V8 basi baada ya miaka 10 haitakuwa na uwezo tena wa kununua V8..unaweza kukuta baada ya miaka 10..milioni 200 ikawa na hadhi ya kununua IST. Ila uki invest kwenye majengo...mfano milioni 200 ikakuwezesha kupata nyumba 4 za 50M....baada ya miaka kumi nyumba hizi ukiziuza zinaweza zikawa na thamani ya 1.2 B
Sidhani Kama ni kweli,mfuko wa UTT ulipoanza mfano ule wa umoja vipande vilikua vinanunuliwa 70 kila kimoja Leo hii ni 852. Sasa pata picha kwa mtu aliyewekeza labda 10 ml kwa kununua vipande 140,000+ Leo hii atakua na sh ngapi?na pia Kuna ongezeko la mtaji la 12% kila mwaka.
 
Wekeza ktk real estate na weka benki kiasi kidogo cha dharura. Real estates (majengo ya kupangisha,mashamba, viwanja n.k) hapo ndipo thamani ya pesa huwa haishuki.

Ila unapowekeza kwenye hiyo mifuko kwanza una risk pesa yako kukatwa kodi, kushuka thamani n.k kumbuka 200m ukiiweka leo kwenye hizo fixed accounts au bonds ukija kuitoa inakuwa imeshashuka thamani.
Una elimu yeyote kuhusu bond?

Au unaropoka?
 
This is a probability numbers game unajua Ni kampuni ngapi zimeanguka mpaka zero watu wanapoteza share zao achana kucheki iyo iliyopanda Kama Bitcoin. Do you've any mechanism when things go against what you planned. Hii sio wabongo tu hata wazungu Ni ya Moto kwao

IMG_5169.png


Kila kitu kinataka kabla hujakifanya ufanye analysis ya kutosha kabla hujaweka hela.

Hii ni apple kipindi ilishuka sana ni 2008 .Laikini kama unajua kipi unafanya winning possible
 
Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja.

Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi million 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa kupitia malipo haya ya kila mwezi.

Msaada wapambanaji
You are wasting time.
 
Sidhani Kama ni kweli,mfuko wa UTT ulipoanza mfano ule wa umoja vipande vilikua vinanunuliwa 70 kila kimoja Leo hii ni 852. Sasa pata picha kwa mtu aliyewekeza labda 10 ml kwa kununua vipande 140,000+ Leo hii atakua na sh ngapi?na pia Kuna ongezeko la mtaji la 12% kila mwaka.
Mkuu hii elimu ndio tunayoihitaji. Kwa mtaji wa Million 100 nikiwekeza baada ya miaka 10 nitaondoka kiasi gani kama ikiwa thamani yake inazidi kupanda
 
Back
Top Bottom