Kupitia kwa ‘Baraka ‘ za Vyeo ‘ Mfululizo ‘ alivyopata kwa muda mfupi Afande Charles Mbuge tunajifunza yafuatayo

afande wangu swali mstari mmoja jawabu unajibu kurasa nzima.

sio kwa mapenzi hayo afande.
tumekuelewa afandeeeeeeee
 
jamaa anaandika sana alafu mambo yenyewe kawaida sijui kwa nini ana mapenzi haya kwa bosi W sasa wa jkt.
 
Upuuzi mtupu..yaani mtu kupangiwa kufanya kazi sehem nyingine basi huo ni kukomoana? Je ambao wanakua kwenye hicho kituo wakifanya kazi nao walikua wanakomolewa?
Black People bhana
 
Hahah we mzee mi nishakuambia kwamba mi sio norman sigalla

Ingawa namfahamu fika huyo bwana na ni family friend

Mi nakutania sipo kwenye system ni kapuku mmoja naendesha boda boda huku nanjilinji
 
Acha upumbavu we kipele,,,,kama kitu hutaki kujibu kitulize
Kuna ' Mpuuzi ' Mwenzako mmoja hivi aliniuliza Swali kama hili na nikamjibu hivyo nakuomba itafute ' post ' niliyomjibu na acha Kunipotezea muda tafadhali.
 
Sasa hapa jukwaani limefata nini kama ni special kwa wana Mlalakuwa? Funguka tu
 
Sisi tuna muitaga digala, op Tanzania ya kiwanda 832kj.. 203 up namba iliyopo afande
 
Upuuzi mtupu..yaani mtu kupangiwa kufanya kazi sehem nyingine basi huo ni kukomoana? Je ambao wanakua kwenye hicho kituo wakifanya kazi nao walikua wanakomolewa?
Black People bhana

Hivi nyie watu (nasema nyie kujumlisha na wengine wenye tabia hii) kwa nini ukiona tatizo kwenye hoja ya mtu unakimbilia kulaumu rangi ya ngozi au Uafrika?? Jamani, hivi watu weusi au Waafrika ndiyo peke yao wanakosea? Mbona hata Wazungu, Wahindi, Wachina wana makosa au matatizo yao kama binadamu lakini sidhani kama wana hii tabia ya hovyo ya kusema ‘Wazungu Bwana!’, ‘White people bhana’, ‘Wahindi bhana’????? Kwa nini huwezi kuona kosa la mtu mmoja kama ni lake mwenyewe badala ya kuunganisha Waafrika wote au watu weusi wote??? Tubadilike. Tujiamini.
 
Charles Mbuge ni mtu wa watu na hupenda kujumuika na kila mtu, na hiyo ni sifa mojawapo ya kung'aa kwa nyota ya mtu.

Ila si wote wanaojumuika basi nyota zao hung;'aa na kuonekana kwenye fursa yoyote ya kimaisha.

Charles Mbuge anapenda mpira na kwa wale wapenzi wa mpira wanaitambua timu ya Ruvu JKT ambayo ilipanda daraja na inacheza ligi kuu, aliehakikisha timu hiyo inapanda ni Charles Mbuge.

Nyota ilianza kung'aa zaidi jina lake lilipopitishwa ili apewe kitengo cha michezo pale JKK kutokana na mafanikio ya JKT Ruvu.

Kila mahala alipopelekwa kutelekeza kazi kazi hizo zimekamilika kwa asilimia 101.

Charles Mbuge alipewa kazi ya kusimamia mji wa serikali Dodoma pale Mtumba na akiwna vijana wapatao 1500 wakapiga kazi na mji ukakamilika na vijana wale wote 1500 waliajiriwa sehemu mbalimbali kwa maagizo ya raisi John Magufuli.

Sasa Magereza wakapewa pesa wajijengee mahali pa kujisitiri wao wakawa wanapiga hesabu za kugawana hizo pesa na ndio sababu hata yule nanihino akatumbuliwa.

Raisi Magufuli alipotembelea mradi huu wa nyumba za Magereza na kuona madudu yaliyofanywa akakumbuka kazi ya Charles Mbuge na huyu kwa kiingereza namwita "Gaffer" akapewa kazi na kaipiga ndani yamuda ulopangwa.

Hongera sana meja jenerali Charles Mbuge kwa mafanikio yako na kupanda vyeo viwili ndani ya muda mfupi kutoka cheo cha kanali, brigedia jenerali na sasa meja Jenerali.
 
We jamaa hueleweki, hapo juu kuna comment umesema hujapita jeshini ili kwa habari ulizozisikia kutoka kwa waandamizi km watatu hivyo kyonyesha habari za huyu Afande umezisikia Tu sasa kwenye comment unayomjibu mdau hapa unasema unaongozwa na maadili na hujawa na akilj za kipa katoka, so mpk hapo huoni kama unajichanganya, ukizungumzia maadili means umo dani ya chombo na maadili unayajua ndio maana huwezi kuelezea hapa figisu alizokuwa anafanyiwa bwana Afande na hapo juu umeeleza kwva uliambiwa na watu ambao wako jeshini kama watatu means hauko kwenye chombo, ndugi yng hebu weka sawa hapa tafadhari isijekuwa no mambo ya kujifanya unajua kila jambo
 

Ya nini lamba lamba zote hizi na stress ya kutaka watu wakuone?

Fanya biashara hutakaa ulambe mtu matako!

Make your own money na uwape watu ajira!

Acha kulamba watu matako!

Na ukichukua statistics,kati ya askari wote aliefanikiwa kutoka ni huyo Mbuge,hao wengine huwasemei!

Rate of failure ni kubwa hapo!

Unachukua success ya Mbuge una equate na eti ni wote!

Yeye ni one in a milion!

Bado sector ya kulamba watu matako ndio maana inachukua ukubwa sana!

Achana na ajira za kis3nge hizi,fanya biashara lipa kodi toa ajira na utakua na furaha na more developed than anybody,mostly!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…