True matapeli ni wengi mimi na wenzangu kama saba hv tulichaga laki nne na nusu ili jamaa apime aweke beacons baada ya hapo tufatilie hati jamaa alipotea mpaka namba yake imeota kutu, muhimu kuwa makiniUpimaji wa viwanja sekta husika ni ipo? Ardhi au manispaa? Mimi hapa ndipo nachanganyikiwa. Pesa analipwa mtu anayepima au ni pesa ya sekta husiika?? Wengi tuna shida na hii kitu ya kupima viwanja tunashindwa kujua nani ni mhusika halali wa upimaji wa viwanja maana nilishawahi Pima kiwanja na kumlipa pesa mtu wa ardhi lakini kwenda wizarani kulikuwa hakuna hati ya kiwanja wala faili. Matapeli wa viwanja ni mlolongo kuanzia upimaji uuzaji ununuaji umiliki nk Msaada tafadhali mwenye kujua suluhu la jambo hili.
Aissee kuna Jamaa anaitwa Christopher Heguye,nilimaliza nae Kigoma Seconday,vipi ulisomanae?Mjinga huyu,angemaliza mwaka anaotaja ningemjua. Nawajua wote waliomaliza Archt 2005
nimepima viwanja vyangu vitatu, sina gari ila usafiri ilinigharimu 50000 kumtoa mtaalamu mpaka site 150000 baada ya hapo anaenda wizarani kupeleka zile coordinates wamtafutie kama zina someka kwenye maeneo yaliyopimwa ....ingawa kitaalamu wanasema gps inapoteza coordinates kuna kifaa kingine wanakikodi (sikikumbuki jina) kukodi tu sh laki tano ambacho hakipotezi coordinate, na gharama zingine, kheri yako we unayejua short cut...Yaani mpimaji kuja na GPS na kuchukua coordinates kisha kwenda kuangalia kwenye ramani za jiji ndiyo ighalimu laki tatu?
Mimi nimenunua kiwanja kimepimwa ila sijapewa namba na alieniuzia kaniambia namba baada ya wiki itatoka je sijapigwa changa hapo.Procedure ya kupima kiwanja kiwe kidogo au kikubwa au vingi ni ileile, ila gharama ya kupima kiwanja kimoja ni kati ya Tsh. 800,000= - 1,300,000/=. Kama kuna upimaji wa zamani (Adjacent Survey) ulioidhinishwa jirani na kiwanja chako, itafanya gharama iwe ndogo zaidi.
Siku hizi hakuna suala la offer, bali unaomba hati moja kwa moja ukishapata "approved survey plan" Gharama za ufutiliaji kupata hati ni zako mwenyewe katika ofisi za manispaa husika.
ni kweli hapana bei maalum, kutokana na ukubwa wa eneo na mahala eneo lilipo, itambulike kuwa kuna maeneo hayapimiki (hayafai kwa matumizi ya kibadamu) kama mabondeni nk ila ukienda kwa afisa mipango miji asiye mwaminifu atakulia hela ukome, kuna watu wamenunua au wamejenga maeneo ambayo yalipendekezwa kwa shughuli maalum kitaalamu wanaita (planned) au eneo lenye mchoro, pia hii sio rahisi kwani inabidi afisa mipango miji achore eneo lako aliingize kwenye ramani kisha apeleke baraza la ardhi kama watapitisha mchoro huo, kuna watu wamenunua maeneo ambayo hayaja pangwa yaani squatters hii inabidi mjikusanye wananchi kwani huwezi kwenda ardhi ukawambia wakupimie eneo lako peke yako......kwa hiyo cha msingi na muhimu kabla ya kuanza kupima inabidi ujue eneo lako liko wapi?Nimeshatumia 1.4 mil bado hakijaeleweka,Ardhi hapana bei kamili mkuu
Sawa mkuu. Hongera. Niliuliza tu na sikumaanisha kama najua shortcut. Ila kwa sababu hizi bei siyo rasmi na uwa ni negotiable tukubali kwamba kuna uwezekano wa kupata huduma hiyo hiyo kwa bei ya chini zaidi kutegemea na mpimaji mwenyewe na bargaining strength ya mtaka huduma ukiongezea na options alizonazo za wapimaji.nimepima viwanja vyangu vitatu, sina gari ila usafiri ilinigharimu 50000 kumtoa mtaalamu mpaka site 150000 baada ya hapo anaenda wizarani kupeleka zile coordinates wamtafutie kama zina someka kwenye maeneo yaliyopimwa ....ingawa kitaalamu wanasema gps inapoteza coordinates kuna kifaa kingine wanakikodi (sikikumbuki jina) kukodi tu sh laki tano ambacho hakipotezi coordinate, na gharama zingine, kheri yako we unayejua short cut...
Ina maana JPM hajaweza kukabiliana na upuuzi wa rushwa katika upimaji viwanja?
Mimi binafsi nilianza process za kupimiwa eneo langu huko Pugu Kajiungeni lakini nikaishia kwenye hatua ya kuwekewa mawe huyo surveyor akayatelekeza mawe hapo site hadi wa leo.
Naomba kujuzwa naweza kuendeleza mchakato huo au ni kuanza upya?![]()
ukiwa na marejesho ni Bcc mkuuStaff mwenzangu kapata hati last year na katumia 1.2m tu....kiwanja chake kipo Goba ...acheni kutisha watu na hizo 3.5m zenu .....mimi nimempa mtu kazi hii nitatoa ushuhuda hapa.....
Ekari moja ni 4047sqm na si 4900