Kupima Reasoning ya Mwanamke

Best we najua huo mrengo haukuhusu kabisa. Big up, na uje uwalee wanetu wa kiume kuwa WANAUME kama baba yao.
Sure... Napataga heartburn nikionaga kejeli kama hizi.. Stay strong my mom nd my sisy mmenitoa mbali
 
Mwanamke anaweza kuwa kakuzidi kipato,elimu na umri wa kutosha tu lakin kama uko nae kwenye uhusiano kuna mambo utagundua na kuona kwamba wa kike ni wakike tu
 
Sure... Napataga heartburn nikionaga kejeli kama hizi.. Stay strong my mom nd my sisy mmenitoa mbali
Mlivyoambiwa muishi nasi kwa akili mlifikiri kwasababu sie vilaza eeeh!!!
Mjitafakari sana, na mkumbuke misingi.
 
Exactly, mimi sifa ambazo mwanamke anazo na mwanamme hana sioni kama ni udhaifu ni tofauti za kijinsia tu(gender rule).

Hata ubongo wa mwqnamke ni tofauti na wa mwanamme..kwenye processing, chemistry, structure n.k.

mwisho wa siku tutasema kuwa na matiti ni udhaifu au kutokuzaa ni udhaifu.
 
Mwanamke anaweza kuwa kakuzidi kipato,elimu na umri wa kutosha tu lakin kama uko nae kwenye uhusiano kuna mambo utagundua na kuona kwamba wa kike ni wakike tu
Sasa ulitaka wa kike awe wa kiume?
Mwanamke lazima awe mwanamke tu kwasababu yeye ni mwanamke.
 
Kuna vitu vingi, mfano, unampa pesa ya kusuka nywele lakini anaacha kusuka anamnunulia mtoto daftari la shule. anabania pesa ya matumizi anaongeza vifaranga vya kuku na mengine mengi
Na abarikiwe muke huyo wakwako
 
Mwanamke anaweza kuwa kakuzidi kipato,elimu na umri wa kutosha tu lakin kama uko nae kwenye uhusiano kuna mambo utagundua na kuona kwamba wa kike ni wakike tu
Udhaifu ni nini! Na hapo udhaifu wa mwanamke utakuwa kwenye nini?

Wa kike ni wa kike kweli hili lipo wazi na wa kiume ni wa kiume tu.

mwqnamke akikosa sifa alizonazo mwanamme huo sio udhaifu nitawaelewa kama mtaniambia Mwanamke akikosa sifa mwqnamke anazotakiwa kuwq nazo ndiyo dhaifu.
 
Hatukatai kwamba hawatusaidii
 
Mlivyoambiwa muishi nasi kwa akili mlifikiri kwasababu sie vilaza eeeh!!!
Mjitafakari sana, na mkumbuke misingi.
Nimemwambia jamaa apo.. Reason ya mwanaume kuambiwa aishi kwa akili na mwanamke
 
Umeanza uongo Naona unapinga hadi vitabu vitakatufu
 
Mkuu UDHAIFU ni nini??
 
Jitahidi uwe na uhusiano na mwanamke unayehisi kakuzidi mambo fulani fulan alafu utakuja kutupa mrejesho

Mwanamke hana u strong aliokuwa nao mwanaume na hii ni kwa kila kitu kuanzia mawazo akili nguvu na kila kitu ndio maana mwanaume atabaki kuwa kichwa tu
 
Mascularity sawa lakini hii tofauti ya kibailojia.

Akili wewe kuna wanawake wanakuzidi hadi humu wapo. Tafuta kipimo cha akili tuwapime na mmoja wa humu uone.

Mawazo kuna wanawake wana mawazo mazuri kukuzidi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…