Hhahahhaha kichwa ndo kinapiga ngeta mkuu... Kiukwel tuache unazi au kujikubali pasipo na haja. Wanawake wanatusaidia mno ila tunawachukuliaga mapopoma sana oooh ni kiumbe dhaifu... Naandika hivi kwa experience na mifano hai ya familia kadhaa... Wanaume tunazingua.Kwa sababu sisi Wanaume ni Kichwa cha Familia
Kwako pia na hiyo heshima ikurudie pia.HESHIMA KWAKO!! Nakutakia Heri na Fanaka katika kipindi hichi cha sikukuu; Blessings for 2018!
Kuishi nao kwa akili ilitokana na kuwa wao ni werevu zaidi yetu.mwanamke usimpige ila ishi nae kwa akili
Hahahaa!! Best nyie si ndio vichwa vya familia jamani!!Nilisahau kukuquote my besty... Najua una neno hapa... Nangojea
Hahaha! Pole yakoMwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
Hakika! Maana atakutana na mwanamke mwenye IQ kubwa kuliko yake, akajikuta anauliza maswali ya "kitoto" What a "turn off?!" 🙄Usimpime kwa maswali mpime kwa matendo hapo ndio utamuelewa ...
Umekuwa adimu mkuu.Mmmh aisee..hold on
Umezungumza vyema kabisa.....Wanaume siku hizi ndiyo tumekua dhaifu na tunazidi kuwa dhaifu. Udhaifu wa wanawake siku hizi unabakia kwenye mascularity tu na huu sio udhaifu ni toafuti za jinsia.. vingine wanakuzidi wewe
Pesa,elimu,Akili za maisha, kila kitu. Sasa kiumbe chenye nguvu kitaanza kujadili udhaifu wa kiumbe dhaifu wtf!!
Daaah sipo huo mrengo au sina hiyo kaliba besty.. Nitawaheahimu hadi nafukiwa chini..Hahahaa!! Best nyie si ndio vichwa vya familia jamani!!
Kwakweli mnatusikitisha sana aisee.
Ni dhaifu kweli kweli.. lakin kwani udahifu ndio reasoning!?Biblia Takatifu inasema Mwanamke ni Kiumbe Dhaifu....Kwahio mm naenda sambamba na Biblia
Hahaa aaaaa nimecheka sana, mkuu ukija kuoa mkeo atapata shuruba sanaMwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
Acha kutetea ujinga..nyie ndio mnalishwa ka nyama mnashindwa kujielewa unasimamia kitu gan..idiot kabisa
Mkuu acha utani basi....Aliyewaumba hakuwahi kuwapa nafasi na au hata kuwahesabu.
Ila leo wanawake wana kaya zao kama wanaume tulivyo, wana wahubiria hadi makanisani kama tufanyavyo wana nguvu na ushawishi kama tulivyo.
Aliyewaumba alikuwa hajasoma nyakati tu. niite mario ila naweza kuwa babayako.
Kwanini unadhani natania?Mkuu acha utani basi....
Best we najua huo mrengo haukuhusu kabisa. Big up, na uje uwalee wanetu wa kiume kuwa WANAUME kama baba yao.Daaah sipo huo mrengo au sina hiyo kaliba besty.. Nitawaheahimu hadi nafukiwa chini..
Mh! Wote?????? Bora umetoka nduki
Nadhani wamesahau majibu bado wanatafuta. But kwa haraka mwanamke udhaifu wake umebase kwenye hisia zaidi. Ni watu wa huruma sana mwisho wa siku huruma zao zinawaponza then wanakuwa watu wa chuki kupita kiasi hata kwa vinavyopaswa kuhurumiwa, wengi hawawezi kushindana na hisia zao kama wanaume na hapo ndipo ikaja kuwa suala la madaraka au kichwa cha familia anafit zaidi baba coz maamuzi ya mwanaume mara chache hayaongozwi na hisia kama ilivyo kwa mwanamke. Japo sikuizi mambo yanabadilika kuna hata viongozi wengi wanawake ni kama ilivyo nature ya binadamu kupingana na nature yake thus why the world is going shakarabagala.nimewauliza udhaifu wa mwanamke upo kwenye nini hamjibu.
Na mimi akili yangu ipo free haijafungwa mkinishawishi kwa mifano ya sasa nawaunga mkono.
Ila kama mtaendelea hivi basi sina haja ya kuwalazimisha maana sipambani.