Kupima Reasoning ya Mwanamke

Nina wasi wasi na jimsia yako.
Bilashaka wewe Sio mwenzetu.
 
Nimekuelewa sana mkuu hapo ulipo pitia kwa mangi mwambie akupe kinywaji bariiiiidi nakuja kulipa
Mkuu hawa wadogo zetu nikukaa na kusema mwanamke ni dhaifu ni dhaifu hadi ndani familia zao unakuta mzee pesa hana Nguvu hana maamuzi ndani ya nyumba anayalazimishia kisa iliandikwa yeye ni kichwa cha familia.

Mwanamme ili mwqnamke awe dhaifu unatakiwa ummiliki kuanzia uchumi na kila kitu. Haya mambo ya kusema mwanamke ni dhaifu yataishia midomoni.
 
Ndio endlea
Wengine mambulula na wengune werevu, pia inategemea na umri wa mwanamke, sasa sijui kwako uko na mwanamke wa aina gani ambaye unataka kumpima uelewa wake ,
 
Wewe unayeamini mimi kuamini vitabu vya kizungu nimekengeuka ila kuamini kwako biblia kuwa mwanamke ni dhaifu ni sawa hatuwezi kuelewana.
Aaahh....kumbe unawaamini Wazungu, Sasa wewe endelea kuwaamini na sisi tunaamini maandiko ya muumba wa Aridhi na mbingu, tutaona nani yupo Sahihi kwenye huu mpambano.
 
Hakuwa kiazi kama nyie wa siku hizi aisee!!
Nina Mashaka na uwezo wako wa kufikiri kama ndio huu wa Nyuma ya keyboard wacha tu sisi tuwaponde
 
Hata wanawake pia unahitaji kuwa nao karibu kupata kuwajua vizuri.
Biblia Takatifu inasema Mwanamke ni Kiumbe Dhaifu....Kwahio mm naenda sambamba na Biblia
 
HESHIMA KWAKO!! Nakutakia Heri na Fanaka katika kipindi hichi cha sikukuu; Blessings for 2018!
 
Aaahh....kumbe unawaamini Wazungu, Sasa wewe endelea kuwaamini na sisi tunaamini maandiko ya muumba wa Aridhi na mbingu, tutaona nani yupo Sahihi kwenye huu mpambano.
nimewauliza udhaifu wa mwanamke upo kwenye nini hamjibu.

Na mimi akili yangu ipo free haijafungwa mkinishawishi kwa mifano ya sasa nawaunga mkono.

Ila kama mtaendelea hivi basi sina haja ya kuwalazimisha maana sipambani.
 
Nina Mashaka na uwezo wako wa kufikiri kama ndio huu wa Nyuma ya keyboard wacha tu sisi tuwaponde
We si umesema uwezo wa kufikiri wa wanawake hauujui, sasa wangu umeujuaje? Unajitekenya eti!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…