Kupima ni ishu nyie

Kupima ni ishu nyie

Mimi nimeshaenda zaidi ya mara 100 kupima ila sijawahi kuchukua majibu!! Sitaki kufa kwa pressure kabla ya siku zangu za kuishi...
Sasa mtu unapimaje huku ukijua hamna tiba ...

Make mfano malaria unajua kuna dawa
 
Sasa mtu unapimaje huku ukijua hamna tiba ...

Make mfano malaria unajua kuna dawa
Ndicho kilichonifanya nikae miaka miwili bila kupima,,sasa sitapima kabisa bali kuwa mwangalifu tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Njoo nikupongeze, Eti mkojo unagonga chupi si useme tu nnya
 
f3a4d34fe830122c0e675198c8f38012.jpg
Njoo tupongezane
 
Back
Top Bottom