Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,581
Tatizo watu sijui hawajui kusomaPrivate hospital ipi unayoifahamu wewe nchini Tanzania wanakopima DNA zaidi ya kwa Mkemia Mkuu wa Nchi?
Sasa kama sijui private wanapima au hawapimi nimemwambia ajaribuHospital gani hapa Tanzania private wanaofanya hiyo kitu??
Unajua maana ya neno sijui kwenye hio comment uliyo iquote ?Private hospital ipi unayoifahamu wewe nchini Tanzania wanakopima DNA zaidi ya kwa Mkemia Mkuu wa Nchi?
Good thing with private they care about cash. Uki offer attractive package watakupa attractive service.Ndio maana namwambia aende private maana huko sijui kama limitations zipo au hazipo
Ila government jua mtoto atakuwa ni wako
Kama wanafanya hapo fresh huku kwengine miyeyushoGood thing with private they care about cash. Uki offer attractive package watakupa attractive service.
ilo io pia inaweza saidia lkn wakiona wote hamno zigo atapewa mmoja tafuta watu halisi unahis wamemwaga apoMmhhh🤔🤔🤔. Hapa nimepata wazo. Ikibidi unaenda unatafta hata ndugu yako unaenda nae as if mnagombea mtoto then mnapimwa. Ikionekana sio wenu wote it means sio wa kwako
SA una maanisha South Afrika?Achukue sample (hasa blood)ya mama wa mtoto, mtoto mwenyewe na yeye mwenyewe, tuma SA watafanya hiyo paternity DNA test, majibu yao yanakuja na vipimo vyote walivyofanya (ni zaidi ya 13)na ili mtoto awe ni wako ni lazima vifanane vyote, tofauti ya hata viwili ni negative (mtoto si wako),kama yupo seriously awe tayari kugharimia. Nimejaribu na sasa nimepata ukweli
Maneno “kama inawezekana” umeyasema sasa. UmesomekaNimesema labda aende private kama inawezekana maana sijui huko kama kuna limitations embu rudia kusoma comment zote
Sasa mi nitajuaje Kama Wana Pima au hawapimi ?
Kwa hapa Tz hakuna sehemu yoyote wanapima DNA zaudi ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali, I stand to be corrected...Good thing with private they care about cash. Uki offer attractive package watakupa attractive service.
Hahahahaaaaaa!Kuna jamaa alihisi mtoto sio wake akamchukua rafiki yake wakaenda kujifanya wanagombea mtoto! Kilichowakuta sasaMajibu yalionesha rafiki wa jamaa ndo baba wa mtoto!! Hizi DNA za bongo ni nyoso sana!!
Kuna jamaa alihisi mtoto sio wake akamchukua rafiki yake wakaenda kujifanya wanagombea mtoto! Kilichowakuta sasaMajibu yalionesha rafiki wa jamaa ndo baba wa mtoto!! Hizi DNA za bongo ni nyoso sana!!
Sasa nadhani hadi hapa tulipofikia ushapata jibu upime au usipimeHahahahaaaaaa!
Kuna jamaa naye walifanya Mila kwao Mtoto akafa! Akanambia rafiki huyu Mtoto hakuwa wangu! Asingekufa!!!Waseme ukweli ili kulinda maisha ya mtoto. Kivipi? Kwetu nikimfanyia mtoto mila ambae sio damu yangu anakufa. Mababu wanachukia kwa kuwadanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu ,ukiwa na 10,000.00zar unaweza kuanza hii project, kuanzia ukusanyaji wa sample hapa Tanzania, uhifadhi wake na usafirishaji wake,upimaji wake na kutumiwa majibu.SA una maanisha South Afrika?
gharama yake kiasi gani?
Mkuu ni uamuzi wako kutegemeana na unavyofikiriaBora gharama kubwa kuliko kulea mtoto unaemdoubt. Kwa sababu hutaeza kumpa upendo anaostahili of which hii itaendelea kumuumiza kisaikolojia hata atakapokua mkubwa. Mimi nasupport kutoa hyo hela na kujua ukweli aisee
Hakuna private wala government hospital inayofanya vipimo vya DNA isipokua kwa mkemia mkuu wa serikali pekee."Utaambiwa mtoto ni wako hata kama sio wako"
Thats a lie. Ukienda hospital za govment maybe.. but private with enough money wanakupa black and white truth.
Now what will you do with that truth. Thats will be up to you
Sio mimi mkuu, jamaa alishapima na majibu yake alishapata, ameambiwa ni wa kwake, nadhani ni kwa maslahi ya mtoto...Sasa nadhani hadi hapa tulipofikia ushapata jibu upime au usipime