McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,170
- 2,334
[emoji38]
xi xhua tumzgunch
[emoji38]
inatoa mionzi, inanyonywa na chakula ( maji)Hivi microwave inatoa joto au mionzi inayonyonya maji?
Nadhani inategemea na wewe unataka nini
got youNadhani inategemea na wewe unataka nini
Kama ni kwa ajili ya kupasha tu;basi yoyote yafaa
Kama unataka hadi ku'grill/kuchoma vitu basi angalia specifications kwenye microwave yenyewe
Aidha km unapenda analog/digital uchague pia
Kuna options za kutosha madukani
Kenwood
hapana,zipo microwave zenye option ya kugrill,hizo unafanya kuchoma pia,lakini zile hazina hii option usitumie kupikiaNadhani hiyo si kazi yake specific.... Ila unalazimisha
Hio microwave kuna za solarhapana,zipo microwave zenye option ya kugrill,hizo unafanya kuchoma pia,lakini zile hazina hii option usitumie kupikia