Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,880
- Thread starter
- #61
Ufuma Hioo....??Chedi...hiirawee?
Ufuma Hioo....??Chedi...hiirawee?
Kumbekuna dume huwa linampiga mkewe linajiona janjaaa mke anajifanya ana hasira anahama nyumbani, kifuatacho Itv jamaa wanajipigia utadhani walilipa mahari ha ha ha kila akipigwa ndo chance ya kulala kwa mchepuko
Huko vuagha..Ufuma Hioo....??
Mkuu huyo demu wako alikuwa la pili B bila shaka..Kuna jamaa alikuwaga ana mfukuzia demu wangu chuo kupindi hicho nipo second year.. Demu mwenyewe ndo aliekuja kuniambia kwamba kuna jamaa lina msumbua lina mtongoza lakini yeye halitaki na namba za huyo jamaa akanipa.. Aisee nilichukia kinoma nikampigia jamaa huku nimewaka hasira na matusi kibao na nika muahidi jamaa tukikutana lazima nimtoe meno yote ya mbele demu nae akaniomba simu amtukane jamaa nikampa... dem akamwambia jamaa akome kumfatilia na huyu ndo Mme wangu (mimi)... Jamaa akawa mpole tu... Baada ya kama wiki hiv Dem akaniomba hela ya saloon nikamwambia sina.. Huwezi amini demu alimpost yule jamaa nilie mpiga mkwara kwenye profile yake ya whatsupp na akaandika" nakupenda mume wangu na mungu akulinde na mabaya ya dunia" nikaogopa hata kumpigia demu kumuuliza kwanini kaamua kufanya vile maana nilihisi atampa jamaa namba zangu wanitukane daaah nilitulia kimya na nikaapa sitakuja kugombana na mtu eti kisa demu...
Wacha unyanyasaji bro.Mwanamke bila
Kupata kichapo cha mkono
Kutoka kwa mumewe
Hakuna saa ataweka heshima
Mkuu Hyungnim , kuna wanaume wanahisi bila kumpiga mke basi uanaume wao haujakamilika( Na hata kupitia comments za huu uzi tunaona)Lakini patience mkuu ukimtia(sio maana ya tia kimuktadha) mumeo kortini haki yako ya unyumba utaipataje?mumeo ang'atwe na mbu mahabusu badala ya kukumbatiana kama kumbikumbi?.
Kabisa mkuu...kwa maana nyingine wacha mama yako au dada yako adundwe tu maana wanaendekeza hisia... nimekupata mkuu!!!
ila nna hakika ukija kua na watoto wa kike hutakaa uzungumze nonsense namna hii!!!
We endelea kubaki hapo hapo na mawazo mgando. Lait ungejua mwanaume bila mwanamke si lolote usingekaa ukasema mwanaume hakosei mnakosea na kukosolewa pia inatakiwa mkosolewe.Mwanaume hakosei wewe.
Toka lini mkuu akakosea????
Nyie ndio hamjui maana ya Mwanamme na mwanamke zaidi ya kuendekeza hisia
Yahani wewe majibu yako, uwa yanakuwaga na hekima haukrupuki ,big up.Kuna makosa mengine hayahitaji hata kujibishana!
Hapo amna haja ya kuinua mkono juu yake, zaidi anafungasha kilicho chake uelekeo kwa wazazi wake mazima
Patience123 mkuu nakubaliana na yote uliyonena!Binafsi siwezi kabisa kusukumizia masumbwi mwanamke!.Mimi naamini sana ktk daiolojia,kati ya mume na mke.Sikatai kuna wakati wanawake huudhi mno huku jeuri zikiwa pomoni!"Muone huko(huku akikutikisia makalio na kuibetua midomo yake)...we mwanaume au janaume...toa hapa hela ya LUKU mie nitazame bongo muvi!Mwanaume hata shughuli yako hainichoshi....kwa mwendo huo usipotumia busara lazima akachukue PF3 polisi!Nikigundua kipusa wangu amechafukwa,najishusha kdg na kumwacha azoze.Akitulia namwita nakaa naye sehemu tulivu kisha namueleza kosa lake kwa lugha laini!Akipaniki basi atakuwa na maruhani.Njia hiyo ni murua kwa wanawake wanaojitambua sio wale wa kwenye vigodoro.Na mkimaliza hapo mnapeana penzi safi!Kuliko kudundana,kuumuana nyuso na kudhalilishana....Mkuu Hyungnim , kuna wanaume wanahisi bila kumpiga mke basi uanaume wao haujakamilika( Na hata kupitia comments za huu uzi tunaona)
Sisi binadamu si wakamilifu,kila mmoja ana mapungufu yake,japo hapa wanawake tunaonekana wakorofi,tuna midomo,ila upande wa pili nao una mapungufu kedekede ila ya kwao hawayaoni.
Inapotokea hali ya kutoelewana kwa wapenzi au wanandoa wanaume wanakuwa wepesi kunyanyua mkono kumpiga mwenzake,na wengine wanapigwa mpaka wanajeruhiwa,na wengine mpaka kukatishwa uhai.
Wanaume nao wanatukosea sana,je wao wapigwe na nani?
Mwanaume akikupiga mara moja ukanyamaza,atarudia na ya pili na ya tatu na unakuwa ndio utamaduni wake. Akipata stress zake huko anakuja nyumbani anatafuta sababu ndogo tu ya ugomvi anazimalizia kwako.
Na mwanamke ukipigwa mara ya kwanza ukanyamaza,mara ya pili na tatu unakuwa sugu...
Unaona ndivyo wanaume wote walivyo na ndivyo maisha yalivyo..
Mimi siruhusu kabisa hata mtu anifinye,seuze kunipiga. Mimi ni mtu mzima,kama kuna kitu ninakosea mwanaume aniambie,tunayazungumza nina apologize yanaisha.
Mambo ya kupigana, aende kwenye masumbwi..
Mie Nifuma UsangiHuko vuagha..