Kupigwa au kupigana katika mahusiano

Mwanamke bila
Kupata kichapo cha mkono
Kutoka kwa mumewe
Hakuna saa ataweka heshima
 
Wadada wengine ni wajeuriii alafu wanamaudhi sanaa mtu anajikuta kashusha kipigo...
 
Kupigwa au kupigana katika mahusiano

Katika vitu ambavyo ni vigumu sana kumshauri mtu kuvumilia kwenye ndoa ni kupigwa. Ndoa ni amani furaha na kuheshimiana, unapooa unamchukua mkubwa mwenzio awe rafiki yako mpenzi wako mfurahishane na kusaidiana sasa hivi kuna kosa gani la mkubwa mwenzio la kukufanya umpige?

Ninaposhindwa kuelewa ni kwanini umpige au mpigane?

Kwa kosa gani hasa?

Mwanamke anapigwankwa mkufu wa dhahabu na upande wa khanga ndugu.

Ila kama unayebondwa ni mwanaume wala usione haya nawe chukua hatua kukomesha unyanyasaji wa kijinsia.

Vipi ndugu yangu ulishawai pitia mikasa ya namna hii katika mahusiano yako?

Ebu tujuze ilikuaje?
Huna uzoefu na mahusiano
 
Hahaaa!Ndugu yangu Dracula uzima upo?pole kwa mkasa mkuu.Mapenzi ni ya ajabu sana kuna wakati hutwaa uzuzu,nawe ukajikuta unazuzuka kweli!Pole kwa mkasa huo wanawake wengi wa chuo Tania zao si njema!Wamemuweka mwanaume kama kitega uchumi madhubuti...ktk history two ndani ya mada ya capitalism kuna kipengele cha primitive ways of accumulating capital during mercantilism..... nadhani na hiyo ya mabibi(warembo wetu) inaangukia hapo.
Umesahau na enclosure system mkuuu haaaa haaaa inaonekana unapenda sana history....
 
Ujue ile kumpiga mwanamke kama tabia ya kila siku huo ndio upuuzi, au eti una mpiga ukiwa umelewa hayo ni manyanyaso na watu kama hao ni wa kufungwa jela kabisa.
ila kuna kupiga ile ya kumuonya mara moja moja inaruhusiwa kiaina, ili kuweka order ndani ya nyumba.
Hapa tupo pamoja mkuu, kumbe kimtazamo sehemu kama za huku tunafanana halafu mkuu inaonekana una akili sana. Kwanini unajitoaga ufahamu kuiponda Barca?
 
Hapa tupo pamoja mkuu, kumbe kimtazamo sehemu kama za huku tunafanana halafu mkuu inaonekana una akili sana. Kwanini unajitoaga ufahamu kuiponda Barca?
Hahaha
Yaan mimi mwenye nimekushangaa kuwa idea za mambo ya kijamii uko sawa. Maamuzi ya ki mpira ndio ulikosea
Sasa malizia kabisa uje Madrid iwe upo sawa na kwenye mpira
 
Mola aninusuru....

Nilishuhudia namna mama yangu alivyokuwa anapigwa mpaka anawekwa majeraha na baba, daah..
Yaishie tu kwake kwa kweli. Mimi mtu akinipiga namburuza Korti...kha.

Mtu kama anajiona ana maguvu akapigane na wanaume wenzie,sio mkewe.
Mtani, mume hapelekwi korti bwana nawe..teh! Halafu uvwo vusho ni vwako?
 
Hizi mambo zipo sana, nadhani kwako imekuwa ndo unaanza kuzipata. Btw pole.
 
Hahahahaaaaaa hahahahahaa
Kuna jamaa alikuwaga ana mfukuzia demu wangu chuo kupindi hicho nipo second year.. Demu mwenyewe ndo aliekuja kuniambia kwamba kuna jamaa lina msumbua lina mtongoza lakini yeye halitaki na namba za huyo jamaa akanipa.. Aisee nilichukia kinoma nikampigia jamaa huku nimewaka hasira na matusi kibao na nika muahidi jamaa tukikutana lazima nimtoe meno yote ya mbele demu nae akaniomba simu amtukane jamaa nikampa... dem akamwambia jamaa akome kumfatilia na huyu ndo Mme wangu (mimi)... Jamaa akawa mpole tu... Baada ya kama wiki hiv Dem akaniomba hela ya saloon nikamwambia sina.. Huwezi amini demu alimpost yule jamaa nilie mpiga mkwara kwenye profile yake ya whatsupp na akaandika" nakupenda mume wangu na mungu akulinde na mabaya ya dunia" nikaogopa hata kumpigia demu kumuuliza kwanini kaamua kufanya vile maana nilihisi atampa jamaa namba zangu wanitukane daaah nilitulia kimya na nikaapa sitakuja kugombana na mtu eti kisa demu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom