Kupigwa au kupigana katika mahusiano

Huwezi kukaa miaka 5 usimchape hata Kofi Mke wako alafu bado ukajiita Baba bora.

Walioenda Jandoni wamenielewa.

Hata wanawake wenyewe hutaman hata siku moja aone unavyompenda kwa kutumia ukali wako sio upole pekee.

Ikumbukwe kuwa usimpige mkeo Mara kwa Mara ila inashauriwa umpige kwa afya ya mapenzi yenu.

Mwanamke akili ni njia moja wapo ya kujenga zaidi upendo tofauti na akikaa miaka mingi ndani ya furaha.

Makofi ni muhimu angalau Mara moja kwa mwaka au miaka miwili

hapana aisee .... hatakofi sikubaliani nalo. na wewe mwnaume unapokosea upigwe makofi pia au siku zote mkosaji ni mwanamke tu. kujibizana kupo na kunakera kweli kweli sema tu mwanamke siku zote ana uwezo mkubwa wa kuongea kuliko mwanaume na ndo maana mnapokushindwa kuongea basi kipigo ndo solution. jilulize " UKIKOSEA WEWE MWANAUME AKUADHIBU NANI??''
 
hapa aisee .... hatakofi sikubaliani nalo. na wewe mwnaume unapokosea upigwe makofi pia au siku zote mkosaji ni mwanamke tu. kujibizana kupo na kunakera kweli kweli sema tu mwanamke siku zote ana uwezo mkubwa wa kuongea kuliko mwanaume na ndo maana mnaonakushindwa kuongea basi kipigo ndo solution. jilulize " UKIKOSEA WEWE MWANAUME AKUADHIBU NANI??''
Mwanaume hakosei wewe.

Toka lini mkuu akakosea????

Nyie ndio hamjui maana ya Mwanamme na mwanamke zaidi ya kuendekeza hisia
 
kwa maana nyingine wacha mama yako au dada yako adundwe tu maana wanaendekeza hisia... nimekupata mkuu!!!

ila nna hakika ukija kua na watoto wa kike hutakaa uzungumze nonsense namna hii!!!
Nmesema kukaa na mwanamke miaka mitano bila kofi moja si dalili nzuri kwa baba bora
 
Kuna demu wangu mmoja nilimlegeza mbavu toka siku hiyo mpk tunaachana alikuwa na heshima sana,mwenyewe alinisifia ww kweli mwanaume.
 
Mola aninusuru....

Nilishuhudia namna mama yangu alivyokuwa anapigwa mpaka anawekwa majeraha na baba, daah..
Yaishie tu kwake kwa kweli. Mimi mtu akinipiga namburuza Korti...kha.

Mtu kama anajiona ana maguvu akapigane na wanaume wenzie,sio mkewe.

Hiyo midomo(kama ni yako usinizibe mdomo,wacha nibwabwaje)!lips laini na teketeke mithili ya ngozi ya kichanga..lips zanisogelea kwa fujo,huku zameremeta,zimenakishiwa kwa mafuta ya njiwa pori.Hamasa imenijaa pomoni,nikitamani kuukutanisha wako mdomo na wangu.Yetu midomo ikaribiane na kusemezana maneno mazuri ya kimahaba!Maneno ya hovyohovyo kama 'njaa',CCM,faru,yasitembee vinywani mwetu.Tupumuliane kwa machofu ya huba,ndani ya chano tulazane,kelele za miguno ya mahaba maridhawa zitokote.


Lakini patience mkuu ukimtia(sio maana ya tia kimuktadha) mumeo kortini haki yako ya unyumba utaipataje?mumeo ang'atwe na mbu mahabusu badala ya kukumbatiana kama kumbikumbi?.
 
Kuna jamaa alikuwaga ana mfukuzia demu wangu chuo kupindi hicho nipo second year.. Demu mwenyewe ndo aliekuja kuniambia kwamba kuna jamaa lina msumbua lina mtongoza lakini yeye halitaki na namba za huyo jamaa akanipa.. Aisee nilichukia kinoma nikampigia jamaa huku nimewaka hasira na matusi kibao na nika muahidi jamaa tukikutana lazima nimtoe meno yote ya mbele demu nae akaniomba simu amtukane jamaa nikampa... dem akamwambia jamaa akome kumfatilia na huyu ndo Mme wangu (mimi)... Jamaa akawa mpole tu... Baada ya kama wiki hiv Dem akaniomba hela ya saloon nikamwambia sina.. Huwezi amini demu alimpost yule jamaa nilie mpiga mkwara kwenye profile yake ya whatsupp na akaandika" nakupenda mume wangu na mungu akulinde na mabaya ya dunia" nikaogopa hata kumpigia demu kumuuliza kwanini kaamua kufanya vile maana nilihisi atampa jamaa namba zangu wanitukane daaah nilitulia kimya na nikaapa sitakuja kugombana na mtu eti kisa demu...
Aaiise mkuu ulikoma kama nakuona ulivobabaika na jasho jingi ,,,mwanamke ni kiumbe hatarii sana u must mind your step every second pole lkn ,,,
 
kuna dume huwa linampiga mkewe linajiona janjaaa mke anajifanya ana hasira anahama nyumbani, kifuatacho Itv jamaa wanajipigia utadhani walilipa mahari ha ha ha kila akipigwa ndo chance ya kulala kwa mchepuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom