Kupigana mabusu kila mara hadharani ni mapenzi au ushamba

Kupigana mabusu kila mara hadharani ni mapenzi au ushamba

Me dem staki aniite baby hata kama tumejuana leo akinibusu ndo kabxa makof hazalani
 
Baadhi ya miafrika ndivyo ilivyo!



Abroad Kawaida sana,mpaka mate kwa raha zenu na watu wanakatiza hapo hapo hakuna anayeshangaa,ila kibongo hata ukiwa na mpenzi wako utashangaa wengine wanaangalia
 
Last edited by a moderator:
Wameathirika na tamthilia za kifilipino.
 
Kwa tamaduni zetu za kiafrika huo ni uzungu pori a.k.a ushamba!
 
Mapenzi ni uwendawazimu uliotukuka mkuu.Ila mimi siwezi, nimesahau kumbusu mke wangu.Wavumilie hawavunji sheria(labda?)
 
Kwangu mimi nikinyaa hasa ule denda na anayebanja akalitemea mdomon kwako...
 
Back
Top Bottom