Kupiga simu kwa kutumia computer

Kupiga simu kwa kutumia computer

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wadau habari zenu....naomba kujuzwa software itakayoniwezesha kupiga simu kwa kutumia line yangu iliyo kwenye modem coz natumia modem ninayotumia haina option ya kupiga wala kupokea simu but naweza kupokea na kutuma msg. Nimejaribu kutumia njia ya ku kupiga kwa dialer kupitia OS but inaleta error ya blue screen. Kama kuna mdau mwenye software itakayoniwezesha kupiga na kupokea simu naomba anijuze. Nawasilisha
 
Modem nyingi za network hapa Bongo zinasupport voice connection

Kwa error unayopata inawezekana sana ni compatibility kati ya modem na h/w part ya computer yako

Fata steps hizi hwenda ukafanikiwa:

• un-install entire s/w of modem and reinstall and test the call
• refer modem spex and check over the internet the compatibility with OS u are using
• take modem of another career ad do testing

-all the best
 
Skyper tu ndo pekeee
wadau habari zenu....naomba kujuzwa software itakayoniwezesha kupiga simu kwa kutumia line yangu iliyo kwenye modem coz natumia modem ninayotumia haina option ya kupiga wala kupokea simu but naweza kupokea na kutuma msg. Nimejaribu kutumia njia ya ku kupiga kwa dialer kupitia os but inaleta error ya blue screen. Kama kuna mdau mwenye software itakayoniwezesha kupiga na kupokea simu naomba anijuze. Nawasilisha
 
Wadau habari zenu....naomba kujuzwa software itakayoniwezesha kupiga simu kwa kutumia line yangu iliyo kwenye modem coz natumia modem ninayotumia haina option ya kupiga wala kupokea simu but naweza kupokea na kutuma msg. Nimejaribu kutumia njia ya ku kupiga kwa dialer kupitia OS but inaleta error ya blue screen. Kama kuna mdau mwenye software itakayoniwezesha kupiga na kupokea simu naomba anijuze. Nawasilisha
Tumia software inayoitwa 3 Mobile Broadband Connection Manager. Hii ni nzuri kwa unlocked modems.
 
tumia dashboard ya mobile partner ipo poa but lazima uwe na head4ne zenye mic
 
Back
Top Bottom