Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!