Kupiga kavu kavu ni noma..!

Kupiga kavu kavu ni noma..!

kavu tamu bana askwambie mtu ila sasa ukitoka utadhani dunia ilikuwa inakuona kila ukikatza hapa tangazo la ukimya, ukienda jf habar za ukimya, ukijgeuza kpeperush cha ukimya yani dah!!
 
Ndo maana huwa napenda "bwawa ".. ukimwi-free! Minato siifagilii.. lol!
 
unajuaje kama mpenzi wako mmoja nae hana mpenzi mwingine? think shem, think!

Ndio maana niliandika kuwa nimefikiria kivivu shemeg, hiyo room of possibility niliiacha open...
 
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!

hivi ukigundua kwamba condom imepasuka halafu ndo wakati uko katikati ya kilele (kileleni) utafanya nini?

kumbuka kwamba mtu uliyemchukua humwamini hata kidogo!
 
hahahaaa hii ilibidi uitoe karibia na weekend, ungeharibu appointment nyingi kweli............thanks Mpwa well said

Noma kweli kumtembeza kamanda bila Gwanda, hapana pima umbali kwa macho
 
sasa Condom ina Raha gani km mmeoana?
Chagua wako mmoja kula kitu inataka sasa haya mambo hata jitu hulijui unalivulia yaani mm inakata steam kabisa yaani nitamwaga shingo upande mwingine
 
mie nitakuwepo wakati wa kupokea majibu ndio unakuwaga mtata zaidi

kupokea majibu ndio sheshe! kuna familia hiyo mdingi aligoma kwenda kupima, mwanamke kakomaa wakapime mwanaume kagoma, akaambiwa ahame chumbani mpaka hapo atakapokubali na kujua afya zao, miaka inakatika wanalala vyumba tofauti. chezeiya kupima shosti!
 
hivi ukigundua kwamba condom imepasuka halafu ndo wakati uko katikati ya kilele (kileleni) utafanya nini?

kumbuka kwamba mtu uliyemchukua humwamini hata kidogo!
Usichukue condoms za kichina,chukua original kama huzijui uliza TBS na MSD..!
 
Ishu hapa ni kusubiri au kuwa mwaminifu

Binafsi sielewi maana ya matumizi ya condom sana saana labda kuzuia mimba as alivyosema watu8 hapo awali

kuzuia maambukizi ni kwa asilimia ndogo sana kwasababu hazitumiki ipasavyo
 
Last edited by a moderator:
kupokea majibu ndio sheshe! kuna familia hiyo mdingi aligoma kwenda kupima, mwanamke kakomaa wakapime mwanaume kagoma, akaambiwa ahame chumbani mpaka hapo atakapokubali na kujua afya zao, miaka inakatika wanalala vyumba tofauti. chezeiya kupima shosti!

Mi kupima ikiingizwa kwenye katiba naukana uraia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom