Kupewa ama sio kupewa........

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Tumechoka na hizi threads za humu ndani,zinazomuhusu Makonda,

ni hivi; hata nchi za wenzetu huwa hawajali vyeti,

wanajali uzoefu/experience yako kazini,

Kwa makamo yake,waajiri wata assume huyu ni mtu mzima,so watataka kutrack working history yake...

hata kama hakupewa cheti ,still hicho cheti kama kilikuwa chake kitakuwa outdated na sio relevant tena kwa kazi sasa hivi,
 
Mkuuu umesahau uhakiki Wa vyeti umewatoa makazini mpaka watu wanaokaribia kustaafu ??? Magufuli awe fair kwa watz woooote

hakuna hela ya mshahara,kuhakiki vyeti ilikua zuga tu,hahahahahahah nakutania
 
Hivi unamaanisha au ni mwendelezo wa kijiliwaza?Kweli nchi za wenzetu hawahitaji vyeti tena halisi?Wapi huko ili tumpeleke jamaa yetu?
 
Hivi unamaanisha au ni mwendelezo wa kijiliwaza?Kweli nchi za wenzetu hawahitaji vyeti tena halisi?Wapi huko ili tumpeleke jamaa yetu?

ungekuwa kweli Makonda ni ndugu yako ningekuambia wapi,hahahahha......mkuu ni kweli hata kama akitaka kujiunga na chuo,bila vyeti anakubaliwa kama mature student,pamoja na uzoefu wake kazini.
 
Back
Top Bottom