Kupendwa usipopendwa


we nawe huna huruma na watoto wa wenzio, natamani kuchangia ila sina uhakika kama nimeelewa
 
sababu kubwa ya kutokea kwa jambo hili ni kupenda mtu ambaye sio maji yako, yaani wewe unampenda mtu ambaye labda yeye ni maji marefu yaani sio wa daraja lako au sio wa calibre yako yaani haendani na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…