kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
mie naomba maana ya jina lako kwanza kipusatembo
Dunia kizungumkuti..!!
Hahahah hilo jina bwana wacha tu Mom Fay maana ake ni kwamba popote ukiona kipusa ujue tembo ameshauliwa muulize KI*NA*NA......... Anajua kiiila kitu.....
Afu Mom Fay ndo wewe wa Fay Pub pale Sinza amaaa??????
Yani usiombe hiyo ghalika ikukute hatari sana bana maana
msalimie MCHUNGUZI HURU
Yani usiombe hiyo ghalika ikukute hatari sana bana maana
stable woman yaani kuna saa unajitahidi kupenda na kujifunza hadi mwisho ila moyo ndo unagooooma kabisaaa.Mapenzi hayaeleweki yapo kama mchezo wa karata ukilamba Joker kwenye Albastini imekula kwako! Eti wanasema tunajifunza kupenda huyo alieonesha kukupenda kwa dhati wakati wewe hukuwa na muda nae ng'ang'ania huyo! Utampenda tu
Doooh basi hyo kipusaa imenipeleka mbali.
....daah haya bhana
Hyo pub mmmh atakuwa fay mwingine
hata mm celew unataka kukaa n kutulia n mwanaume,yy ndo haelewek..jnaume tabu ...ndo mna skuiz na relax aaaah burudani
Sasa mi ndo limenikuta huku naogopa kuambiwa naringa afu pia naogopa kuambiwa playa......... Sema yule nnae mpenda na yeye kama hanioni vileee
Hahaha luisajr ni shidaaa.......... Aliegunduaga NO STRINGZ ATTACHED na FRIENDS WITH BENEFIT nampa gwara mpaka kesho maana alikua na akili huyoooo ach kabisaaa.
Ndugu maisha mafupi haya utakiwi kujipa stress zisizo na maana ww fata moyo unavyosema hayo mengine waachie wanadamu wataongea yatakwisha ila ndani ya nafsi upo huru!!! Ishi upendavyo mkuu