Kupendwa RAHA Jamani...

Haka kajamaa kanaonekana kataalamu ka kuzama chumvin maana huo ulimi full mimate kumshuka
 
Wa2 wafupi wenye maumbo madogo wengi wao hupenda magari makubwa sana, sijui siri yao ni ipi; Mdada anaonekana m2 wa bierre kinoma.
 
Mdada kafurahii...
Bila shaka hapo atakuwa chupiless kama kawa; anafurahia rasta zinamtekenyaa...!
 
Huyu dogo anaitwa Kazi king Majuto kamtoa sana kimaisha..maana alikua anaishia kuvuta msuba tu vijiweni Kawe.
 
Huyo jamaa anawalainishia nyama walaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…