Kupendwa RAHA Jamani...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
3444_115326958622866_513608334_n.jpg
 
Wa2 wafupi wenye maumbo madogo wengi wao hupenda magari makubwa sana, sijui siri yao ni ipi; Mdada anaonekana m2 wa bierre kinoma.
 
Mdada kafurahii...
Bila shaka hapo atakuwa chupiless kama kawa; anafurahia rasta zinamtekenyaa...!
 
Huyu dogo anaitwa Kazi king Majuto kamtoa sana kimaisha..maana alikua anaishia kuvuta msuba tu vijiweni Kawe.
 
Back
Top Bottom