Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
-
- #101
Nimeshindwa kuandika stori kwani watu kazi ni kupiga tuu.Hahahahahaha dah kweli jf kiboko kumbe watu mshafanya kweli dah nimefurahi sana yani saana mpaka navyoandika msg hii nacheka peke yangu
Leo utakoma utatongozwa kama simu ya arafu unayo wewe mpaka ujishtukie ukimbilie chooni ukahakikishe jinsia yako.Wewe umenielewa mkuu.
Mkuu naomba nukuulize.
Je wewe ndie ulipiga saa tisa ukanambia upo Manyoni?
Hahahahahaha dah kweli jf kiboko kumbe watu mshafanya kweli dah nimefurahi sana yani saana mpaka navyoandika msg hii nacheka peke yangu
Kazi ipo huku.Arafa lazima a mind mkuu sababu kama ulivyosema kua alikwisha anza kuwastukia ndio kaanza prove dalili za mwanzo sasa alchokua anakiwaza kichwan mwake kua anamegewa tunda lake na mama J.
Hahaaahaa!!!Leo utakoma utatongozwa kama simu ya arafu unayo wewe mpaka ujishtukie ukimbilie chooni ukahakikishe jinsia yako.
chezea watu wa jukwaa hili wanavyopenda nanlihi.
Watu wapo sirias Humu Mkuu.Hahaaaaa! Mkuu me cjajarbu hata kwa maana nilijua tu huyu jamaa awezi toa namba ya dem wake kirahisi rahisi tu nikajua hii namba itakua ya huyu jamaa. Hebu pitia post za mwanzo hko nilicheka sana na mimi ndo utaona kumbe kuna jamaa mmoja alfanya hii mambo ya kubuni namba mpka akampata mkuu michael wakachonga nae.
Watu wapo sirias Humu Mkuu.Hahaaaaa! Mkuu me cjajarbu hata kwa maana nilijua tu huyu jamaa awezi toa namba ya dem wake kirahisi rahisi tu nikajua hii namba itakua ya huyu jamaa. Hebu pitia post za mwanzo hko nilicheka sana na mimi ndo utaona kumbe kuna jamaa mmoja alfanya hii mambo ya kubuni namba mpka akampata mkuu michael wakachonga nae.
Wewe umenielewa mkuu.
Mkuu naomba nukuulize.
Je wewe ndie ulipiga saa tisa ukanambia upo Manyoni?
Unajua jamaa kampa sifa nyingi arafa mpaka anatamanisha so lazima wazee wa kazi wafanye kweliHahaaaaa! Mkuu me cjajarbu hata kwa maana nilijua tu huyu jamaa awezi toa namba ya dem wake kirahisi rahisi tu nikajua hii namba itakua ya huyu jamaa. Hebu pitia post za mwanzo hko nilicheka sana na mimi ndo utaona kumbe kuna jamaa mmoja alfanya hii mambo ya kubuni namba mpka akampata mkuu michael wakachonga nae.
Hahaha ntamtafuta baada ya mwezi sasa hivi mko wote utakuwa wamwambia cha kujibu ngoja ngoja usahau ili nimtokee vizuri...Hahaaahaa!!!
Mkuu watu Arafa kwa sasa ndiye anayepokea simu embu jaribu.
Ila utakuta simu bize
Kazi ipo huku.
Sema kuna watu humu wameotea namba na wanaongea nae hapa.
Kuna mmoja jina nalihifadhi kasema eti yeye anaundugu na Bashite. Yaani hapa nabaki kucheka tuu
Hatari MkuuHahahaaaaaa huyo jamaa afai kabisa mkuu.
Unampa pole ya nini mkuu?Arafa wa sinza... Pole sana..
Mbona huendeleziUnampa pole ya nini mkuu?
Sawa mkuuitakpoendeleza tena unitag nije kuisoma.