brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
Hahahaa, hakuna kinacho exceed heavy blowjb na mimi nije kuandikwa hapa,eti?Hahaha yote yawezekana mbele ya blow mkuu
Hahahaa, hakuna kinacho exceed heavy blowjb na mimi nije kuandikwa hapa,eti?Hahaha yote yawezekana mbele ya blow mkuu
Kusema ukweli ukapata mtu anayekupenda kwa dhati, na wewe ikawa ni hivyo hivyo - kuna raha jamani
Relax and enjoy the moment... Wacha kufikiria mambo ya kesho..that's my principal thoughTatizo huwezi jua lini utakuwa mwisho wa hayo mapenzi ya dhati......
The greatest mistake a woman can make ni yeye kuanza kumpenda mwanaume, utajuta and it will turn your life totally upset down!Mimi naona si sawa kabisa. Kwa nini mwanamke asipende? Kwani kapungukiwa nini? Kwani kupenda ni vibaya au ni vizuri sana mpaka kumbagua?
Kusema ukweli ukapata mtu anayekupenda kwa dhati, na wewe ikawa ni hivyo hivyo - kuna raha jamani
Umekosea sana kusema hv.. Maana hyo biblia yenyewe inasema HUWEZI SEMA UNAMPENDA MUNGU WAKATI HUMPENDI JIRANI YAKO... inaendelea kusema anayesema anampenda Mungu huku anamchukia Jirani yake ni MWONGO na KWELI HAIMO MOYONI MWAKE....We badala ya kumpenda Mungu unampenda mwanadamu !!!
Wewe na Whitney tena.Nampenda sana huyu bidada
Havionekani ila naweka hiviWewe na Whitney tena.
Nakufahamu Kiongozi.
Kwa kweli Album yake hii ya mwisho kabla ya Umauti kumkuta, alifanya kazi kubwa sana.
Album yake hii I look to you.
Mimi huwa siichoki, kila kibao kitamu.
Hebu tumkumbuke kidogo kwenye Album yake hii (I look to you) kwa vibao kadhaa hapo chini:-