Kupendwa raha jamani

Kama wewe ni mwanamke hapo sawa; Kwa kuwa wanaopenda au kupaswa kupenda ni WANAUME pekee, MWANAMKE hapendi, ila huwa anajikabidhi/submit & kuukubali/accept huo upendo ulionyweshwa na Mwanamume & KUTII/obey.

Ni wapi mwanamke aliambiwa kuwa anapaswa kumpenda mwanamume? Aliambiwa amtii & kujikabidhi kwake tu.

Anayependa ni mwanamume. Kama wewe ni mwanamume, ningetarajia umsifie huyo mpenzi/mke wako kwa KUUKUBALI upendo wako, KUJIKABIDHI kwako & KUTII upendo wako na wewe. Kwa muktadha huo, ndio maana anayepaswa kum-approach mwenzie kwanza ni mwanamume; Pia cases za vifo vya mapenzi (sacrifices) huwatokea zaidi wanaume kwa sababu wao ndio waathirika wa Upendo.

Kama wewe, ni mwanamke una haki ya kuja kusifia na kuelezea namna Mumeo anavyo-KUPENDA.
 
Kupendwa raha sanaa ila upendwe na unayempenda, na nadhani ni moja kati ya vitu bora sana maishani
 
Mapenzi ni zawadi sio kila mtu kapewa, Mapenzi ni sadaka sio kila mtu anatoa, Mapenzi ni ibada si kila mtu anafanya, Mapenzi ni imani si kila mtu anayatii, Mapenzi ni hakika si kila mtu atathibitisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom