Kupendwa raha jamani

Kupendwa raha jamani

Ila siku akibadilika uje hapa utupe mrejesho kwamba kuachwa nako kukoje
 
hivi maana ya kupendwa ni nini?
Kupendwa ni hali ya mtu au kitu kukufanyia mambo ambayo anadhani yatakuwa na manufaa kwako bila kuhitaji malipo ya moja kwa moja huku akitumai utajimilikisha kwake.

Ndiyo maana wanaofanya mambo hayo ya manufaa wakitegemea malipo ya moja kwa moja husemekana kuwa na mapenzi ya kuigiza
 
kumbe haya tunayoyaita mapenzi sio mapenzi maana mbunye na mboo zisingekuwepo hakuna kupenda sio?
 
Mapenzi si kwa ajili ya sex tu.. Ni kwa ajili ya kufanya mwenza ajihisi kiridhika...
Ili kuridhika Wanaume Wana mahitaji Yao na wanawake Wana Yao.. Na baadhi ya mahitaji ni kwa pande zote mbili..
Mfano.
Men need ;
-Respect
-pleasure
-kumiliki

Wanawake need
-Security
-pleasure
Kumiliki
And both lists zinaendelea.. Ila zote zinaishia lengo moja tu.. Mtu aridhike ajihisi yu mwenye bahati kuwa nawe..
 
Kama wewe ni mwanamke hapo sawa; Kwa kuwa wanaopenda au kupaswa kupenda ni WANAUME pekee, MWANAMKE hapendi, ila huwa anajikabidhi/submit & kuukubali/accept huo upendo ulionyweshwa na Mwanamume & KUTII/obey.

Ni wapi mwanamke aliambiwa kuwa anapaswa kumpenda mwanamume? Aliambiwa amtii & kujikabidhi kwake tu.

Anayependa ni mwanamume. Kama wewe ni mwanamume, ningetarajia umsifie huyo mpenzi/mke wako kwa KUUKUBALI upendo wako, KUJIKABIDHI kwako & KUTII upendo wako na wewe. Kwa muktadha huo, ndio maana anayepaswa kum-approach mwenzie kwanza ni mwanamume; Pia cases za vifo vya mapenzi (sacrifices) huwatokea zaidi wanaume kwa sababu wao ndio waathirika wa Upendo.

Kama wewe, ni mwanamke una haki ya kuja kusifia na kuelezea namna Mumeo anavyo-KUPENDA.
Mimi naona si sawa kabisa. Kwa nini mwanamke asipende? Kwani kapungukiwa nini? Kwani kupenda ni vibaya au ni vizuri sana mpaka kumbagua?
 
Love is a one crazy phenomenon. Sh!t can turn a Plug into a Deacon. A hustla into a rat. A Tony Montana into an 'Urkel'. For the weak, it's a dangerous game. Beware.
 
Mimi naona si sawa kabisa. Kwa nini mwanamke asipende? Kwani kapungukiwa nini? Kwani kupenda ni vibaya au ni vizuri sana mpaka kumbagua?
It is a principle from ABOVE; So, mimi nimenukuu yale yaliyoandikwa na kuagizwa na ndicho kinachopaswa kuwa msingi wa ndoa.

Angalia hapa chini;

"Kwa sababu hiyo mtu (mume) atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja." - Waefeso 5:31

Anayeanza kuacha wazazi ni mwanamume, yaani yeye ndiye initiator wa ndoa na upendo. Mke hufuata tu.

Maandiko yanasema pia, Mwanamume ana kazi moja tu ya KUMPENDA mkewe & mwanamke anapaswa KUMTII mumewe. Angalia hapa chini;

"22 Enyi WAKE, WATIINI WAUME zenu kama kumtii Bwana wetu. 25 Enyi WAUME, WAPENDENI WAKE zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe." - Waefeso 5:22,25,28,33

Angalia mifano ya wanawake wenzenu wa zamani, wacha Mungu katika Biblia; Sara, Ruthu, Naomi, Esta nk, jinsi walivyoupokea upendo wa waume zao kwa Utii mkubwa.

Sara alimtii Ibrahimu kiasi cha kumuita Bwana; Ni wangapi wenu mna utii kama huu siku hizi, zaidi ya kutowastahi waume zenu na kuwafedhehesha.

"Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; Kama vile SARA alivyomtii Ibrahimu, akamwita Bwana; Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe." - 1 Petro 3:1-7

"Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana. Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao." - Wakolosai 3:18-19

Ni wapi mwanamke anaambiwa ampende mwanamume? Hakuna, kumtii mumeo ni kutii agizo la Mungu = Kumpenda Mungu.

Ila mwanamume ndo anaonekana kupenda kama lilivyo agizo;

"Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, AKAMPENDA; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake." - Mwanzo 24:67

"Yakobo AKAMPENDA Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo. Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile ALIVYOMPENDA." - Mwanzo 29:18,20

Nk... Ipo mifano mingi. Upendo huu kama wa Yakobo lazima ukuzuzue akili na utajiona na wewe unampenda, lakini hicho kitendo ni unakuwa una submit to his love.
Then sasa, utii hufuata.

Ninyi mmeagizwa kuwatii & kuwastahi waume zenu. Angalia mfano wa mwanamke mwenzenu Abigaili jinsi alivyomuokoa na kumstahi mumewe asiangamizwe na mfalme Daudi;

Maandiko yanasema, "Na jina la mtu huyo aliitwa Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu." (1 Samweli 25:3)

Nabali aliwajibu vibaya na kuwatukana watu wa mfalme, "Lakini kijana mmojawapo alimpasha habari Abigaili, mkewe Nabali, kasema, Tazama, Daudi alituma wajumbe kutoka nyikani waje ili kumsalimu bwana wetu, naye akawatukana." (1 Samweli 25:14)

Na Abigaili anakwenda kupiga magoti kwa ajili ya uovu wa mumewe, "Nakuomba ulisamehe kosa lake mjakazi wako, kwa kuwa hakika Bwana atamfanyia bwana wangu nyumba iliyo imara, kwa sababu bwana wangu anavipiga vita vya Bwana; tena uovu hautaonekana ndani yako siku zako zote." (1 Samweli 25:28)

Leo tunaona hamuwastahi waume zenu; Mnatamani kutembea na vichaa, wakiwa na mapungufu au ugonjwa mnatoka nje ya ndoa; Je! Ndivyo mliovyoagizwa?!

Ngoja niishie hapa kwa leo, ubarikiwe.
 
It is a principle from ABOVE; So, mimi nimenukuu yale yaliyoandikwa na kuagizwa na ndicho kinachopaswa kuwa msingi ndoa.

Angalia hapa chini;

"Kwa sababu hiyo mtu (mume) atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja." - Waefeso 5:31

Anayeanza kuacha wazazi ni mwanamume, yaani yeye ndiye initiator wa ndoa na upendo. Mke hufuata tu.

Maandiko yanasema pia, Mwanamume ana kazi moja tu ya KUMPENDA mkewe & mwanamke anapaswa KUMTII mumewe. Angalia hapa chini;

"22 Enyi WAKE, WATIINI WAUME zenu kama kumtii Bwana wetu. 25 Enyi WAUME, WAPENDENI WAKE zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe." - Waefeso 5:22,25,28,33

Angalia mifano ya wanawake wenzenu wa zamani, wacha Mungu katika Biblia; Sara, Ruthu, Naomi, Esta nk, jinsi walivyoupokea upendo wa waume zao kwa Utii mkubwa.

Sara alimtii Ibrahimu kiasi cha kumuita Bwana; Ni wangapi wenu mna utii kama huu siku hizi, zaidi ya kutowastahi waume zenu na kuwafedhehesha.

"Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; Kama vile SARA alivyomtii Ibrahimu, akamwita Bwana; Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe." - 1 Petro 3:1-7

"Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana. Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao." - Wakolosai 3:18-19

Ni wapi mwanamke anaambiwa ampende mwanamume? Hakuna, kumtii mumeo ni kutii agizo la Mungu = Kumpenda Mungu.

Ila mwanamume ndo anaonekana kupenda kama lilivyo agizo;

"Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, AKAMPENDA; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake." - Mwanzo 24:67

"Yakobo AKAMPENDA Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo. Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile ALIVYOMPENDA." - Mwanzo 29:18,20

Nk... Ipo mifano mingi. Upendo huu kama wa Yakobo lazima ukuzuzue akili na utajiona na wewe unampenda, lakini hicho kitendo ni unakuwa una submit to his love. Then sasa, utii hufuata. Ngoja niishie hapa kwa leo, ubarikiwe.
Asante sana kwa maelezo mazuri. Maandiko ninayafahamu fika...am just curious.
Je kwa mantiki hiyo basi, mwanamke akipenda automatically anakuwa ametenda dhambi maana hakuyatii maandiko?
Na je, kwa maana hiyo kupenda huku kuna restriction? Yaani mwanamke anazuiliwa kumpenda mwanaume/mumewe lakini ndugu, jamaa, marafiki na jamii nzima anaruhusiwa kuwapenda?
Navyojua mimi upendo ni upendo tu...haugawanyiki kwamba mpende flani na flani usimpende.

Nadhani biblia ilivyosema waume wapendeni wake zenu haikumaanisha wanawake wasipende. Huwezi kusema biblia imewazuia kupenda kwa ku base tu kwenye hiyo mistari unless kuna mstari precisely unaomkataza mwanamke kupenda.

Na kama upo nitashangaa sana....!

Anyway....all is well.
 
Ha ha ha! Ni vyema kuwa unafahamu haya ... Tunapeana challenges za hapa na pale. Nafikiri wanapenda pia ila upendo wao hutofautiana sana na ule wa wanaume. Nadhani distinction hizi Mungu aliziweka makusudi kutusaidia kuwa na mahusiano bora ya ndoa.
 
Biblia haijaweka distinction yoyote kwenye upendo.... haijasema mwanamke asipende. Inasema pendaneni kama nilivyowapenda.... Inasema Mungu ni upendo. Distinction tunaweka sisi wanadamu.
 
Huo upendo unaozungumzia sio wa husband & wife bali ni brotherly love (upendo wa kindugu) ; Na huo wa Mungu ni Agape Love. Lakini kwa ule wa husband & wife kuna clear cut difference & maandiko nimekupa. Ni wapi umeonyeshwa kwenye maandiko mke akampenda mumewe? You are there to respect & obey your husband's love; And submit to it.
 
Hiyo distinction unaitoa wewe. Kwenye maandiko haipo. Wapi maandiko yanasema mwanamke asipende? I only need that verse.

Biblia kusema mwanamke amtii mumewe haimaanishi imemzuia kumpenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom