Kupendwa na wanawake, je ni u 'handsome' au?

Hapo ni mambo ya nyota tu!!
Nyota ya Chips mayai, nyota ya ukimwi n.k. ila kama una nyota ya za wokovu, nenda tu kanisani kasali.
 
Be smart, jipende, be charming nd ukiongea nao kua na kauli za kinafki in relation to love/romance issues, kuwa secretive, find a language to make it clear hutaki commitment/kumganda, last but not least kill them wit genuine care.

Sasa we waletee swagger za u genius sijui kujenga mighorofa, sijui baba paroko all the time. Utaishia kupigwa mizinga tu wenzio wala.

Fata hyo formular, Utawang'oa utawachoka mwenyewe (Other things being constant).
 
Enough
 
Hapo naona matumizi mazuri ya lugha ktk mawasiliano na faragha.
 
Hali hii hutokana na nini? Utakuta mtu ni wa hadhi ya kawaida tu,hana pesa ya kutisha wala sura ya kuvutia kiviile,lakini kila siku anawapanga wadada mstari,sometimes hadi wanafumaniana na kupigana lakini wapi,hii ni technical commettee au?🙄
Huo ni mfumo wa maisha tu,maishana mtu hupata kile unachoshughlika nacho,mfano;ukishughulika na pesa zitakuja =ukishughulika na ngono utanukia ngono na wahusika watakutafuta wenyewe
 
Wewe ndio umeandika jambo la maana sana.....mara nyingi huwa hivyo kuwa mtu hupata kile anachokipigania.....
 
We ni hendsam?
Hivi mwanaume Handsome maana yake nini? maana mke wangu huwa ananiambia eti mimi ni Handsome, lakini kuna jamaa yangu naye aliniambia eti yeye naye anaambiwa na mkewe kwamba yeye ni Handsome alafu mimi na huyu jamaa tupo tofauti kabisa kwa rangi, kimo na physical appearance.
 
Hendsam anakua ni mtu hendsam flani hivi kama mme wangu teh
 
yani hapo umemaliza kaka...,!! Hiyo inaitwaga THREAD IS CLOSED
Hahaha experience bandugu.

Aaargh we utahonga had lini wenzio wamega kisela..dem mzoee ukishamzoea mchezee chezee sanaa sio in public though (issue ni kujipenda ofkoz nd be upto standards).....asipokubanulia k... mi fal.a. Tehe
 
Back
Top Bottom