Kupendeza sio kuvaa nusu uchi

Tatizo ushindani baba, wanawake wako wengi, wanaume wachache (heterosexual), ili kujiuza lazima wavae kihivyo, utashangaa mwanamke kavaa nusu uchi kabisa lakini anakwambia hana shida ya mwanaume!
Tazama hizi picha za mavazi, zaitwa (Vagina Cleavage)! Ni hatari tunapoelekea kwa kweli, cha kushangaza eti wanaonekana wamependeza?!
 
Sasa haya ni mavazi au anatembea uchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hamu ya ndoa inakosekana

Alafu wanasema oo colew kumbe mambo yote yako nje sasa mtu atavutiwa na nn???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi hata maeneo ya ibada/kanisani utakuta mtu kavaa ajabu sana, nguo juu ya magoti, kukaa vizuri hawezi, kila saa kuvuta nguo chini wakati yenyewe ni fupi.

Kweli nashindwa kuelewa, ningekuwa na nafasi huko makanisani I'd ban all women who wear half naked.
 
Huu ujumbe ungesindikizwa na kapicha au ka video ungeeleweka sanah

ushauri wa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…