Ungemuuliza vizuri akufafanulie huo Usafi upojeSoja p
Labda maungo ya Mwili yanapoonekana halafu hayana hata Kovu moja.
Pengine ndio Usafi wenyewe niliokuwa nakusudiwa.
Lakini sina hakika.
Nilipopewa jibu la Usafi ikabidi nikaushe ili kutoleta mtafaruku
Kwani hao mabinti hawakai na wazaz wao au na wazaz wanaruhusu watoto wao kuvaa ivo
Ni kwel. .hapo ulitumia busara sanaSoja p.
Ilibidi nikubali yaishe.
Nikaona tusifike mbali.
Si unajua Walimbwende huwa hawatabiriki.
Hilo unaloona la kawaida au dogo, baadae linaweza sababisha mtafaruku
Hayo yanahesabiwa ni maendeleo kwa zama hizi...hata wazazi wengine wamepotoka...wanapuuza maadili ya kizazi chaoKwani hao mabinti hawakai na wazaz wao au na wazaz wanaruhusu watoto wao kuvaa ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kukosa hekima tuHayo yanahesabiwa ni maendeleo kwa zama hizi...hata wazazi wengine wamepotoka...wanapuuza maadili ya kizazi chao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaondoka nyumbani wamevaa vizuri na kwa Heshima.Hayo yanahesabiwa ni maendeleo kwa zama hizi...hata wazazi wengine wamepotoka...wanapuuza maadili ya kizazi chao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwao ni uerevu huoWanaondoka nyumbani wamevaa vizuri na kwa Heshima.
Wakitoka nje tu.Wanabadili wanavaa nusu uchi.Sasa sijui wanarudia mavazi ya jadi (maziwa wazi na sketi majani) naona tutafika huko muda si mrefu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo fleva inawahusu hii.
Tunaelekea pabaya sanaWanaondoka nyumbani wamevaa vizuri na kwa Heshima.
Wakitoka nje tu.Wanabadili wanavaa nusu uchi.Sasa sijui wanarudia mavazi ya jadi (maziwa wazi na sketi majani) naona tutafika huko muda si mrefu