hili lako ni tatizo la kisaikolojia sasa..........tena linamtokea mwanaume...........
saikologia......
hili lako ni tatizo la kisaikolojia sasa..........tena linamtokea mwanaume...........
Jamani ninahisi ninateseka kutokana na hisia juu ya rafiki yangu wa kike. Kadri muda muda unavyoenda nahisi ninampenda mpaka nakuwa kama mjinga na nahisi nitamharibu au mimi kuumia sana mapenzi yakifa. Naombeni ushauri wazoefu namna ya kuthibiti hii hali...ni kawaida au ni nini au limbwata?
Pole sana Mkuu. Kwa jinsi ninavyofahamu mimi kama naye kakuzimikia kiasi hiki, na wewe unaona hivyo basi hakuna tatizo ila kama ni mapenzi ya upande mmoja tu basi ni lazima uumie.
CC: Mateja Fixed Point, Arusha one, Mbu, MwanajamiiOne na mateja mengine wote jamvini.
Ningempata mwanaume wa hivyo....hakika ningekuwa na furaha maisha yangu yoteee.
wanawake wenyewe hamueleweki mko kama gesi iliyoko kwenye mtungi maana muda wowote inaweza kuisha pasipo kuwa na taarifakwanini unatanguliza failure. mbona una wasiwasi na mbele ya mahusiano yenu/hatma ambapo huoni positive.badilisha mtazamo.ona positive.ukishaanza kufikiria mambo ya kuvunjika uhusiano baadae hatima yake ndo itakuwa hivyo.utaanza kutafuta sababu za hapa na pale kuweza kusapoti idea yako.
ha haaa, chezeya kupendana, lol!Pole sana Mkuu. Kwa jinsi ninavyofahamu mimi kama naye kakuzimikia kiasi hiki, na wewe unaona hivyo basi hakuna tatizo ila kama ni mapenzi ya upande mmoja tu basi ni lazima uumie.
CC: Mateja Fixed Point, Arusha one, Mbu, MwanajamiiOne na mateja mengine wote jamvini.
Pole sana Mkuu. Kwa jinsi ninavyofahamu mimi kama naye kakuzimikia kiasi hiki, na wewe unaona hivyo basi hakuna tatizo ila kama ni mapenzi ya upande mmoja tu basi ni lazima uumie.
CC: Mateja Fixed Point, Arusha one, Mbu, MwanajamiiOne na mateja mengine wote jamvini.
ha haaa, mkono uliteleza teja.....Rafiki hata mimi cheo hicho sijafika, mimi ni bado nina cheo cha TEJA labda 2050 ndipo nitafikia cheo cha Tenja.
Baada ya hapo nikusalimie sasa....mambo teja mwenzangu!!
Afu nakutuma kwa mkubwa wetu wa mateja BAK, mwambie siitwi Arusha one bali Arushaone aangalie space between the two IDs.
Yaani......mimi humu ndani kuna mtu atanitoa roho...sitaki kumtaja ila najijua..........usiku naweka home screen ya JF alafu naikumbatia tablet yangu huku nimelala nayo..........najisahau nafikiri kuwa JF ni nyumba hivyo ni kama huyo mdada anaishi humu kwenye JF. Jamani?. Mapenzi kweli yanaua.
penzi kitovu cha uzembe by ngosweJamani ninahisi ninateseka kutokana na hisia juu ya rafiki yangu wa kike. Kadri muda muda unavyoenda nahisi ninampenda mpaka nakuwa kama mjinga na nahisi nitamharibu au mimi kuumia sana mapenzi yakifa. Naombeni ushauri wazoefu namna ya kuthibiti hii hali...ni kawaida au ni nini au limbwata?
Ni mara ya kwanza kuwa kwenye mahusiano serious.