Jeanclaude
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 259
- 238
Jamani ninahisi ninateseka kutokana na hisia juu ya rafiki yangu wa kike. Kadri muda muda unavyoenda nahisi ninampenda mpaka nakuwa kama mjinga na nahisi nitamharibu au mimi kuumia sana mapenzi yakifa. Naombeni ushauri wazoefu namna ya kuthibiti hii hali...ni kawaida au ni nini au limbwata?