Kupenda ndiyo nini?

Kupenda ndiyo nini?

Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu,ni suala la muda tu utaelewa.
 
Kupitia hapa nadhani ataelimika
Mimi naona this word Love is overated and missunderstood term . Mkuu wewe ni nguri na mzoefu wa hizi mambo . Tumia lugha nyepesi utufafanulie kupenda ndo Nini ?
 
Love Ni Hali ya kumpenda mtu kwa dhati ya moyo wako au kihisia bila kujali mapungufu Yake.
INFATUATION Ni Hali ya kumtamani mtu kwa jinsi anavyoonekana.Hapa sio lazima pawe na mapenzi ya dhati.
So mtu akizama penzini anaweza zitofautisha hizo feelings. Na kumpenda mtu kunaanza lini ? Je unaweza mpenda MTU from first sight au ndo hizo infatuation zetu ?
 
Sijawahi hata hisi kuna mtu ananipenda
Inawezekana kweli hukuwahi kuhisi
Lakini nikuhakikishie ulipendwa ndomana ulilishwa, uliogeshwa, ulibadilishwa nepi, umetunzwa kiubishiubishi hivyo hivyo hadi umekua! (Mambo ya love languages).
Wao wenyewe walikuwa na yao wanayapitia but I think they did their best!

Hata hao exes zako kutakuwepo na waliokupenda mkapishana lugha!


Upendo ni hisia chanya kuelekea wengine,
hisia za kutaka wajisikie vizuri, wafurahi,
wafanikiwe n.k.,
zinazokupeleka wewe kutenda kufanikisha hayo.


So ni hisia + matendo.

At first sight huwa ni sexual attraction sio upendo,
Lakini with time hizo positive feelings (upendo) hukua.

Then commitment comes in. Bila kuwa committed kuwa nimeamua / nina wajibu kumpenda huyu, love dies! ! !

Wanaoshindwa kuishi bila exes are just attached to their exes.

Attachment inajifikiria yenyewe, upendo unamfikiria mwengine!

Mfano mama anampenda sana mtoto wake kiasi kwamba hataki aoe / aolewe, anataka abaki yeye na mwanaye tu kila siku, mahusiano yote ya mwanaye anayaharibu au hayabariki.
Is that love?


Ndo kama ex,
Kama ex hafurahi na wewe anataka ku move on,
Kama unampenda kweli you will let him/her go afurahishe moyo wake!

Anayeona bora abaki naye wateseke hivyo hivyo mradi wawe wote,
its not love,
just attachment.

So letting go doesn't mean hujawahi kupenda,

Lakini if you cannot form an emotional bond with someone and stay committed,
tatizo lipo
!
 
Kiukwel hata mimi sijawah kuwa na mwanamke akanipagawisha mpaka nikawa napagawa juu yake

Yaani hata kama sijamkula ninakuwa namchukulia kawaida tu
 
Mapenzi yalikuwa yananitesa sana ila tangu nilivyoanza kusoma vitabu ndio kidogo nikapata nafuu tusome vitabu vinasaidia na kitabu changu cha kwanza kilikuwa men are from mars and women are from VENUS sasa hivi sihangaiki na mtoto wa mtu lolote litakalotokea sawa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom