StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,068
- 8,507
Makuku unayasingizia tu. Tatizo MALEZIWell put mkuu,Wanaume tuache ushoga tufuate aliyotuelekeza MUNGU,tutumie Akili hayo mambo ya Hisia sijui upuuzi Gani tuwaachie Wanawake.Tatizo sijui ni haya makuku ya kisasa tunayokula,maana Wanaume kibao skuizi wanalialia sijui machozi wanatoa wapi,Jana manzi hapa mtaa kamsuprise msela Kwa birthday party Jamaa kaangusha mchozi,ukiangalia Wanaume tunazidi pungua