Asante sana, naomba iwe hivyo.Mapenzi ni chombo cha moto, yanahitaji lesseni kama vile za udereva, pikipiki, ndege n.k
Wazee na mafundisho ya imani yako sahihi kabisa, tungepunguza matatizo mengi sana kama tungesubiri hadi ndoa na kuwa waaminifu kwa wenza wetu baada ya ndoa.
Utakaa sawa tu baada ya muda, binadamu tumejaliwa kusahau mambo baada ya kipindi kupita.
Habari wana jamvi...
Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, Ninashinda nalia peke yangu, sometimes siwezi kula naona niko peke yangu duniani.
Tumekuwa na migogoro ya hapa na pale chanzo kila mmoja akimwona mwenzie msaliti, Binafsi kuna vitu niliviona, sikupenda kabsa though aliaribu kunielekeza but sikutaka kuelewa because niliona havimake sense, at the same time alikuwa anaongea maneno fulan kama vile namsaliti ivi nilichukulia kama utani coz sio kweli.
Finally tuliamua kila mtu ashike 90 zake, Binafsi napata shida sana nateseka sana, uwepo wake nahitaji lakini pia sipendi kusalitiwa, naogopa kumwonyesha kiasi gani namuhitaji.
Nimejaribu kujkeep busy kufanya vitu tofauti lakini hali iko palepale.
Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini niwe ktk hali ya kawaida.
mmmmh please sio kwa muda huuUnaweza kuandika kwa Kiswahili fasaha mwanzo-mwisho?
Unaweza kuandika kwa Kiingereza fasaha mwanzo-mwisho?
mmmmh please sio kwa muda huu
SiweziUnaweza kuandika kwa Kiswahili fasaha mwanzo-mwisho?
Unaweza kuandika kwa Kiingereza fasaha mwanzo-mwisho?
Mkuu umeongea kimtumzima mno. Asante kwa neno Hilo.Mapenzi ni chombo cha moto, yanahitaji lesseni kama vile za udereva, pikipiki, ndege n.k
Wazee na mafundisho ya imani yako sahihi kabisa, tungepunguza matatizo mengi sana kama tungesubiri hadi ndoa na kuwa waaminifu kwa wenza wetu baada ya ndoa.
Utakaa sawa tu baada ya muda, binadamu tumejaliwa kusahau mambo baada ya kipindi kupita.
Mkuu umeongea kimtumzima mno. Asante kwa neno Hilo.
Yes ni mpenzi wangu wa kwanzaunajifanya rose dada, achana naye fanya yako, umesema ni mpenzi wako wa kwanza???
Ukweli ni mchungu lakini Lazima usemwe. Dada yangu kama unataka mwanaume ambaye atakuwa wako tu mi nakushauri labda uwasiliane na Mungu ajaribu kukupa uwezo wa uumbaji, umuumbe mwenyewe wa jinsi hiyo. Lakini kwa sisi tulioumbwa na Mungu ni ngumu sana dada yangu kupata huyo honest 100%. Wanaume ndio sisi sisi, hata akatokea mtu akakataa hapa ni basi tu ila ukweli ndio huo. Cha msingi akuheshimu tu na mjilinde na magonjwa. Mi yangu ni hayo kwa leo.Habari wana jamvi...
Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, Ninashinda nalia peke yangu, sometimes siwezi kula naona niko peke yangu duniani.
Tumekuwa na migogoro ya hapa na pale chanzo kila mmoja akimwona mwenzie msaliti, Binafsi kuna vitu niliviona, sikupenda kabsa though aliaribu kunielekeza but sikutaka kuelewa because niliona havimake sense, at the same time alikuwa anaongea maneno fulan kama vile namsaliti ivi nilichukulia kama utani coz sio kweli.
Finally tuliamua kila mtu ashike 90 zake, Binafsi napata shida sana nateseka sana, uwepo wake nahitaji lakini pia sipendi kusalitiwa, naogopa kumwonyesha kiasi gani namuhitaji.
Nimejaribu kujkeep busy kufanya vitu tofauti lakini hali iko palepale.
Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini niwe ktk hali ya kawaida.
hebu niambie umri wako pm kwanza, usimpende mtu kiasi kwamba ukiachana naye unakuwa huna option, fanya hivyo!Yes ni mpenzi wangu wa kwanza
Asante, but sina njia ya kuwa nae mbali, ni mtu ambae lazima kila siku nikutane naePole mpendwa kwa sasa jaribu kufuta kumbukumbu zake zote kama pics na msgs zote. pia jaribu kukwepa uwepo wake karibu nawe.
Wanasema kumsahau mtu unaempenda ni kama kumkumbuka mtu ambaye humjui.
But God is always good, wapendwa wetu wanatutoka duniani na bado Mungu anatupa uwezo wa kusahau yale maumivu.
Jipe moyo mdogo angu na ujue furaha ya moyo wako unayo wewe mwenyewe.
Ukweli ni mchungu lakini Lazima usemwe. Dada yangu kama unataka mwanaume ambaye atakuwa wako tu mi nakushauri labda uwasiliane na Mungu ajaribu kukupa uwezo wa uumbaji, umuumbe mwenyewe wa jinsi hiyo. Lakini kwa sisi tulioumbwa na Mungu ni ngumu sana dada yangu kupata huyo honest 100%. Wanaume ndio sisi sisi, hata akatokea mtu akakataa hapa ni basi tu ila ukweli ndio huo. Cha msingi akuheshimu tu na mjilinde na magonjwa. Mi yangu ni hayo kwa leo.