Kupenda kuna sababu?

Wanawake ni wasumbufu mno kwenye mapenzi...Mtu anajua kabisa kuwa mi nilishapendwa na mwingine bado anajipitishapitisha kwangu...!

Wanawake ni vinga`ng`anizi wa kutupwa, maana washastuka kwamba wao ni wengi kuliko wanaume, hivyo wanatulazimisha mahusiano bila kupenda...

Si unaona walivyokuja juu hapo juu kwenye mabandiko, maana washaona kwamba dili lao limesanukiwa hawa...lol!

Sisi tunawajueni ninyi, ndo maana tunawa`approach na kuishi na nyie kwa akili sana!...ohoooo!
 
kweli kupenda kuna sababu lakini pia unaweza kumpenda mtu bila sababu! inatokea tu..naweza sema ni kitu fulani ambacho hakielezeki lakini kipo na ni halisi!
 
Wanawake ni wasumbufu mno kwenye mapenzi...Mtu anajua kabisa kuwa mi nilishapendwa na mwingine bado anajipitishapitisha kwangu...!

Wanawake ni vinga`ng`anizi wa kutupwa, maana washastuka kwamba wao ni wengi kuliko wanaume, hivyo wanatulazimisha mahusiano bila kupenda...

Si unaona walivyokuja juu hapo juu kwenye mabandiko, maana washaona kwamba dili lao limesanukiwa hawa...lol!

Sisi tunawajueni ninyi, ndo maana tunawa`approach na kuishi na nyie kwa akili sana!...ohoooo!

sasa katika hili wangepata fundisho kidogo wakaukubali ukweli na kukubali mitala. sisi wanaume hatushindwi kuwalea wawili hata watatu, tatizo ni wao kujenga wivu kati yao wenyewe
 
Ndugu yangu kwenye mapenzi hakuna king'ang'anizi, ujuwe watu hutafutana kwanza kisha ndio mambo mengine yakaendelea, mwanaume ana haki ya kutafuta kwa ujuzi woote alionao hadi akapata, na mwanamke pia ni hivyo hivyo, ingawa tunaamini mwanaume ndio anayeanza kuaproach lakini tukubali tukatae wapo wanawake wengine nao huwa waanzilishi katika hili. Labda katika hizo taratibu za kutafuta ndio kunakuwa na tofauti ambazo wewe unaziita ung'ang'anizi, lakini si kweli kama ni hivyo, mimi naamini wote tuna uchu.
 
ni rahisi kwa mwanaume kuachwa kuliko mwanamke, mkuu. ukiona mwanaume king'ang'anizi ujue kuwa huyo mwanamke kamgharimu, tena pesa. ukiona mwanamke kakubali kirahisi kuachika ujue huna maslahi kwake.
 
Hii thread niliishangaa kidogo. Kuna nimepata shida sana katika maisha na wanaume ving'ang'anizi. hata umwambie uko ''occupied''! labda asiwe na contact zake.

Mara ooh! '' huyu jamaa anakudanganya mimi ni wa ukweli''

Mara akupigie simu akupe ushauri wa mambo ya mahusiano uoene yeye labda anajua kuliko swty wako.

Mara akupigie simu jumamosi jioni akuulize kama Jpili unaenda church. yaani umuone yeye anamjua Mungu sana.

Yaani mambo kibao!

Sijui huyu jamaa anamaanisha nini anaposema sisi ni ving'ang'anizi...???
 
We Fidel acha kutudanganya hapa,kuna ving'ang'anizi kama wanaume kwenye sayari hii,tena hata mkionyeshwa vituko vya aina gani bado mnang'ang'ania hivi kwa nini?huwa nawashangaa kweli nimeshakuonesha dalili zote kuwa sikutaki lakini bado unalazimisha ni kwa kwa nini eti? inabidi tuanzishe mada nyingine,kwa nini wanaume ni ving'ang'anizi hata pale inapotokea umeoneshwa vituko vya kila dizaini ili mtupe sababu.

duuhh,yote inatokana na kua tunafahamu mnatenda mambo ambayo hamna uhakika na mwisho wake, kuna mwenzenu mmoja kangangania talaka ya tatu zaidi ya miezi miwili,alipopewa baada ya mwezi anaomba msamaha arudi kwenye ndoa ili walee watoto alipitiwa na shetani,saa nyingine sio kungangania tu tunaangalia wakati ujao kutakua na tatizo gani,
 
Hii thread niliishangaa kidogo. Kuna nimepata shida sana katika maisha na wanaume ving'ang'anizi. hata umwambie uko ''occupied''! labda asiwe na contact zake.

Mara ooh! '' huyu jamaa anakudanganya mimi ni wa ukweli''

Mara akupigie simu akupe ushauri wa mambo ya mahusiano uoene yeye labda anajua kuliko swty wako.

Mara akupigie simu jumamosi jioni akuulize kama Jpili unaenda church. yaani umuone yeye anamjua Mungu sana.

Yaani mambo kibao!

Sijui huyu jamaa anamaanisha nini anaposema sisi ni ving'ang'anizi...???

dada yaelekea una mvuto wa ziada. Shida ya mwanaume ni uzuri wako na si vingine, and vice versa. Pia we ni mkenya au mkongowoman, kwa kiswahili chako
 
Nauliza hivi kwa vile naona ni wanawake zaidi ndio ving'ang'anizi ktk mahusiano. Ni utam wa uroda, hofu ya kuishi peke, kufuata mali, mkumbo, au ni janga tu la asili? Wajuzi nifahamisheni
Yote yaweza kuwa majibu ila inategemea mtu na mtu
 
Back
Top Bottom