Mkuu nafkr bdo hjwh kupenda maana love ni k2 kbya sna ukmpta m2 uliyekuwa unamhtj ktk maisha kwa maana ana kizi vigezo na viwango vya fifa
Ukipenda unachopata hwz kuona 2faut utaona kawaida lkn penda kile unchokhtj utalia hd machoz ktk mambo ambyo ynachukua % kubwa sna ya maisha y2 ni love na ina impact kubwa sna ktk direction ya maisha whether mbya au nzur kutegmeana na m2 kwa mfno ukmpta mtoto wa mjini mm npenda kuwaita V8 maana wna matuiz makubwa zaid ht ya magari hyo mashagingi wnweza wakakutoboa hd mifupa
My friend omba sna umpte m2 mnaendna ufrhie maisha otherwise kuna sku utaleta ushuhuda hpa jf wa nn maana ya kupenda