Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,738
- Thread starter
- #21
Kuna happiness inayo yokana na kufanya kitu ili wewe uwe happy moja kwa moja (direct link), even using other people sometimes, na kuna hapiness inatokana na kumfanya mtu mngine kua happy (inderect link). Ikiwa unamfanya mtu awe happy na hata happiness yake yenyewe haikufanyi wewe kua na furaha basi hiyo sio sustainable sababu huna motivation yoyote, utaishia kuona kama ni sacrifices tu.
To me life is about happiness, giving and receiving. Na ukiwa na hii philisophy ndio unapata kwa undani maana ya "there is more pleasure in giving than receiving", mnakua mnashindana tu who will make mwenzie happier ili mwenyewe awe happy.
Madam du Roulette des Russie, hii inafanya kazi kila mmoja anapompenda mwenzie kama nafsi yake, jambo ambalo ni gumu na kazi ya ziada kulipata kunapokuwa hakuna uwiano/mizania (balance) i.e. mmoja anapompenda na kumjali zaidi mwenzie (giving much but not receiving little or nothing)