Kupenda bwana

Kupenda bwana

NYANGESON

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Nina demu wangu na tayar ana ujauzito wangu na anadai nimuoe,na bado cjaanza kazi,naona ngumu kwa sasa but nina mpango wa kumuoa.na yeye analazimisha nimuoe siku hizi za karibun.je nifanyeje wana jf?
 
kha!! hizi story za kushika mimba zimekuwa nyingi sana...sasa mwana huyo hamna kumuoa maana amekutegeshea ili umuoe sasa wewe usimuoe...ila kubali kuwa mtoto ni wako.
 
Mzabzab. Kama anakubali kuwa mimba ni yake ni dhahiri kuwa alimpenda. Ni jambo zuri saana kumwoa. Unajua sisi wanaume wakati mwingine hatuna huruma. Wewe unamzalisha mtoto wa watu harafu unakataa kumuoa mimi siafiki hili . Nashauri amwoe.
Aksante
 
kama unafikiri kutokuwa na kazi kunazuia kuoa vile vile ulipigaje bao wakati huna kazi?mtu makini yeyote anaplan mambo yake ,kwa hiyo ulikuwa unacheza show peku ukithani utapata kazi au mtoto kwa hiyo huyo mwanamke ukimwacha na mimba yake yeye anakazi? acha utoto,timiza majukumu yako unataka nani aoe masalia yako nyinyi ndio mnaotuletea watoto wa mitaani.
 
Mzabzab. Kama anakubali kuwa mimba ni yake ni dhahiri kuwa alimpenda. Ni jambo zuri saana kumwoa. Unajua sisi wanaume wakati mwingine hatuna huruma. Wewe unamzalisha mtoto wa watu harafu unakataa kumuoa mimi siafiki hili . Nashauri amwoe.
Aksante

mie nachopinga ni hawa wanawake kudaka mimba bila ya kukubaliana na mwanaume...mie kukutomba weye peku haimaanishi kuwa nataka kuzaa na wewe...nikwamba nataka kuenjoy utamu orijino lol. huyu dada kamtega jamaa sasa tayari kutakuwa na mistrust...na hapo hamna ndoa imara
 
ndio mjifunze na wapenzi wenu kutumia calendar. ukiona siku hatari unakataa hata akikulazimisha. kupanga uzazi ni jukumu la wote.
 
Toa ushauri na sio kulalamika na kutoa matusi.kama umeelewa hoja yangu usingejibu hivyo.watu wengine bwana kuelewa 2 shida.nasema hv nitamuoa lakin kwa sasa bado ni ngumu asubir kwanza,acha kichwa ngumu we
 
hahha wee mwanaune akiona papuchi ataiacha....unatania.
wanawake kuweni wakweli tuu...msitutegeshee....nyie ndio mnaumia mwisho wa siku maana wana tunasepa....moe kukugegeda wewe bila ndom sio kwamba nataka kuzaa na wewe....ni kwamba nataka kuenjoy utamu orijino.
 
Kwa nini ulimpa mimba kama haujajiaanda??....majuto ni mjukuu
 
yaaan kwa nini mlikuwa mnafanya peku matokeo yake si mnayajua nini sa tukusaidiaje?matatizo mengine ya kujitakia
 
kha!! hizi story za kushika
mimba zimekuwa nyingi sana...sasa mwana huyo hamna kumuoa maana
amekutegeshea ili umuoe sasa wewe usimuoe...ila kubali kuwa mtoto ni
wako.

Amemtegeshea? Alimvua dawa ya penzi?
 
Toa ushauri na sio
kulalamika na kutoa matusi.kama umeelewa hoja yangu usingejibu
hivyo.watu wengine bwana kuelewa 2 shida.nasema hv nitamuoa lakin kwa
sasa bado ni ngumu asubir kwanza,acha kichwa ngumu we

Acha ukali kijana! Ulitembea naye pekupeku ukitegemea nini? Kwa nini usisubiri mpaka uwe tayari kuoa?
 
sasa tukusaidieje? Hii nayo ni technical problem.
 
Nina demu wangu na tayar ana ujauzito wangu na anadai nimuoe,na bado cjaanza kazi,naona ngumu kwa sasa but nina mpango wa kumuoa.na yeye analazimisha nimuoe siku hizi za karibun.je nifanyeje wana jf?

una uhakika ana mimba?? Kma kweli anayo, ni yako?? Kuwa makini kwani watoto wa mjini wanafanya kla wawezalo ili tu waolewe.Mwanamke ni mjanja sana.
 
Amemtegeshea? Alimvua dawa ya penzi?

wee bwana wanawake hawa acha tuu..ana hakikisha umenogewa kavu alafu anakuita siku akijua jamaa akiingiza tuu mimba hiyo...sasa wee na nyegez zako utasema kupendwa sii ndio huku...ukiingiza tuu kitu ndina!!! achana na akili za mwanamke bana!!!
 
NYANGESON
::
Hongera maana karibuni utaitwa baba,umewazidi wagumba,matasa,wauaji wa kushiriki kutoa mimba,,umetimiza agizo la Mungu kwa viumbe wote!
::
Kuhusu kukosa kazi isiwe sababu ya kumtelekeza mkeo,,kwa maana unaweza kuishi nae ingali unatafuta kazi,au ukawaomba kwao wavute subira wakati unatafuta kazi,au ukaomba shangazi,mama au ndugu yako yeyote unaemwamini awe na mkeo kwa muda.
::
Ni kipindi cha mpito hivyo uvumilivu ni jambo la lazima.Usiwe baba kisayansi tu bali kimalezi pia kwa familia yako.
::
Kumbuka,,Mungu atakupunguzia vikwazo vingine ili utimize jukumu hili.Toka jasho mwanaume,ndio amri tuliyopewa.
::
KILA LA KHERI
=
 
Back
Top Bottom