Kupenda bwana

Kupenda bwana

Kwanini ulimpa mimba kabla ya kuoana! alafu kwanini amutumii mipira! acheni utoto bwana!
 
prevention is way much better than cure, asa ushabugi man!!
 
mie nachopinga ni hawa
wanawake kudaka mimba bila ya kukubaliana na mwanaume...mie kukutomba
weye peku haimaanishi kuwa nataka kuzaa na wewe...nikwamba nataka
kuenjoy utamu orijino lol. huyu dada kamtega jamaa sasa tayari kutakuwa
na mistrust...na hapo hamna ndoa imara

unamatatizo ya uelewa kidogo ww......kwan condoms zipo kuzuia unplaned preg,ikitokea unaitaka sio mwanamke pekeake.
kha! mnatuonea sasa jaman
 
unamatatizo ya uelewa kidogo ww......kwan condoms zipo kuzuia unplaned preg,ikitokea unaitaka sio mwanamke pekeake.
kha! mnatuonea sasa jaman

huonewi bwana...sasa wewe kukugegeda kavu sii makubaliano y dnt u say no sitaki kugegedwa kavu?
 
ni hekima kumwoa, kwani si unampenda na upo tayari kuwa naye kama direction ya job siyo mbaya! Vinginevyo kama huna pa kuanzia atakuja kukukimbia.
 
mie nachopinga ni hawa wanawake kudaka mimba bila ya kukubaliana na mwanaume...mie kukutomba weye peku haimaanishi kuwa nataka kuzaa na wewe...nikwamba nataka kuenjoy utamu orijino lol. huyu dada kamtega jamaa sasa tayari kutakuwa na mistrust...na hapo hamna ndoa imara

Utamu orginal = utamu wa mtoto.

Wakati wa kula bata uwe naye afu wakati wa majukumu uone huna kazi... Are u serious???


I think wanaume wenye mitazamo ya namna hii mnahitaji kujifunza na kuacha haya mabishano ya kinga dhidi ya mimba zisizotarajiwa ni kazi ya mwanamke. Otherwise mtalalama sanaaaaa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom