Wakuu ngoja nifunguke leo kimalavidavi,
Kuna msanii wa Uganda kwa jina Juliana Kanyomozi, kusema kweli nampenda sana huyu dada. Laiti ningekuwa na uwezo na nafasi stahili, ningemuomba nimuoe.
Wakuu msinichukulie tofauti, ni mapenzi yangu kwa huyo dada. Wakuu nipeni mchakato nifanyeje awe wangu wa maisha. Dah mapenzi haya