Hivi kuna viongozi wowote wa ngazi za juu ambao wametokea hapo kweli?
Kila ninaemsikia anataja kasomea UDSM, MZUMBE, SUA. Hao wahitimu wa hapo vp, tangu 1972?
Kama intake ndio hizo, asalaaale.
Ndo hayo hayo mimi hata sikuyakariri, niliambiwa na uongozi wa University of Quinsland, nikaenda London School of Business wakasema hayo hayo nikaona isiwe kesi
Sioni tatizo lake. Kwanza naona anajitahidi. Sema tuu ana pronunciation za Kisukuma/ Kurya. Mie nilifikiri athari ya Lugha mama haionekani kwenye maandishi. Otherwise, spelling zake mbovu kama cyo swaga za vijana wanaojiita "wakileo".