fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Suluhu ya kweli huwa kati ya wawili.. Third part ni mmaliziaji tuu.. Ukiona umefanikiwa kupatanisha tambua wenyewe walishaanza huo mchakatoNafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Wanajuana kuliko unavyowajua weweHakuna kitu yenye ujinga mwingi kama kupatanisha watu wazima wanao lala bed moja tena wakiwa tupu...😶
Usi shangae Waki elewana wana anza kukusema kuwa huwa una nuka mdomo 🤣😂Hakuna kitu yenye ujinga mwingi kama kupatanisha watu wazima wanao lala bed moja tena wakiwa tupu...😶
kweli?Wala usithubutu mkuu
sawa,nazidi kupokea maoniUsi shangae Waki elewana wana anza kukusema kuwa huwa una nuka mdomo 🤣😂
Ndoa nyingine ni za kuachanishwa vinginevyo itasababisha LUONGOLISM.Nafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Wanaweza wakasema wewe ndie ulie wachonganisha🤣🤣Usi shangae Waki elewana wana anza kukusema kuwa huwa una nuka mdomo 🤣😂
Utakuwa unafanya kwa kulipwa hela auNafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa
Alafu ni classmatesHakuna kitu yenye ujinga mwingi kama kupatanisha watu wazima wanao lala bed moja tena wakiwa tupu...😶
😂 ndio zako wewe na mkeoUsi shangae Waki elewana wana anza kukusema kuwa huwa una nuka mdomo 🤣😂
Kafanye kazi za maana DogoNafanya maandalizi ya kuanzisha mpango wa kupatanisha wanandoa,kwani magomvi miongoni mwao ni mengi sana na yanasababisha maafa mengi mno.Naomba mawazo yenu kuhusu jambo hili
Oya usi niharibie kwa shemeji yangu binti kiziwi 😂😂 ndio zako wewe na mkeo
Kwani hajui kuwa umeoa?Oya usi niharibie kwa shemeji yangu binti kiziwi 😂
Nusu albino nusu albino nusu albino nime kuita mara tatu 😂 😂Kwani hajui kuwa umeoa?
Kifuatacho itv, hivyo usi lalamike 😂😆Kwani hajui kuwa umeoa?