kupata video za masomo ya kufundishia

kupata video za masomo ya kufundishia

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,811
Reaction score
2,152
wakuu habarini za mchana!
wadau naombeni msaada wa jinsi ya kupata video za masomo ya kufundishia mbali na kutumia video za youtube, kwa mfano video zinazohusu pysical geography, kama kuna mwenye link please wakuu.
natanguliza shukrani wakuu....!!!!
 
mkuu unatakiwa tu ujue kusearch, ingia youtube andika somo na topic utapata, mfano mimi nimeingia nimeandika geography plate tectonics majibu yamekuja haya
geography plate tectonics - YouTube

na video ya kwanza ni hii

nahukuru mkuu ila kuna zile ambazo zipo kama muvi kabisa, nakumbuka kuna video moja nilishawahi kuiona ni just full muvi ya tetemeko la ardhi na hadi inaonyesha mbuzi walivyoweza kudetect tetemeko la ardhi kwa kukimbia!
 
ukisearch youtube click filter halafu chagua long video zenye zaidi ya dk 20
 
Back
Top Bottom