Tape tu si shida ila shida ni ww mpaka tape izoee mikononi na miguu pamoja na ubongoHeshima kwenu wakuu.
Naombeni msaada wa jinsi y kupata video ya maelekezo ya KUJIFUNZIA self defense iwe Karate, Kung Fu, Tae Kwondo au kick boxing.
Mwenye nayo naomba ashee (share) na sisi hapa au anitumie PM.
Nawasilisha
ARUSHA KWETU
Nenda msikitiniWw leta bana tape Kama unayo, maneno mengi ya nn
ARUSHA KWETU
Tape haikusaidii dogo..amini ivo..sio mapishi Yale mzeeWw leta bana tape Kama unayo, maneno mengi ya nn
ARUSHA KWETU
nimecheka sana aloo😀😀...siyo masaptasapta etiWe unafkiri self defence Ni kama kipindi Cha mapishi Chanell ten eti ujifunze kwenye video....hahhaaahaaaa ....tafuta dojo
Kama hauna Mwalim. Jenga kwanza utimamu wa mwili, then kunyumbulika rahisi.Heshima kwenu wakuu.
Naombeni msaada wa jinsi y kupata video ya maelekezo ya KUJIFUNZIA self defense iwe Karate, Kung Fu, Tae Kwondo au kick boxing.
Mwenye nayo naomba ashee (share) na sisi hapa au anitumie PM.
Nawasilisha
ARUSHA KWETU
Hya yote tayariKama hauna Mwalim. Jenga kwanza utimamu wa mwili, then kunyumbulika rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa, You tube classes zipo nyingi mno.Hya yote tayari
ARUSHA KWETU