MKUU...MTAJI NI NINI?...mie kwa uelewa wangu juu ya ujasiriamali..MTAJI mkubwa kuliko yote ni WAZO sahihi la hiyo biashara/ uwekezaji unaotaka kuufanya....wazo zuri au viable ndilo linalotakiwa kutekelezwa...na mabenk au financing institutions hazinatatizo katika kutoa pesa au hata rasilimali zinazoitajika kutengeneza hilo wazo au biashara kuwa halisi...jiulize maswali haya kuelewa wazo lako kama ni viable au linatekelezeka
1- umechanganua kwa kina kila gharama utazotumia au zinazohitajika kuendelezaa hiyo investment au biashara?
2- umechanganua uhai wa hiyo investment kuwa ita-ishi kwa muda gani au ndio ikianza baada ya 1 year inakufa?
3- umechanganua kuwa hizo gharama unazotumia kuanzisha huo mradi zitarudi ndani ya muda gani wa uhai wa investment?
4-umewashirikisha wataalamu wakupe changamoto au fursa wanazoziona juu ya huo uwekezaji wako...au umepata theories na live practicles za watu wanaofanya investment kama yako ili ujifunze mengi zaidi?
NA MWISHO KABISA...UNATAKIWA KUJIAMINI NA KUJIPA MUDA KIASI WA KUJIHAKIKI KAMA KWELI UNBACHOTAKA KUFANYA UPO SAHIHI... UKIJIONA UPO SAHIHI... SASA ANZA HATUA ZA KUWAONA WATU WA MIKOPO/BANK/FINANCING INSTUTIONS U-IMPLEMENT WAZO LAKO LA KIJASIRIAMALI....ni maoni tuu
mkuu ... nakubaliana na wewe 100% ... lakini mtoa mada anajiweka wazi kwamba tatizo lake ni fedha kama input even before starting business
nilivyo muelewa ni kwamba anayo good business idea .... but hana uwezo wa kuendelea kuifanyia kazi idea yake.....mkuu.... hiyo michanganuo uliyoainisha ina gharama kubwa sana kufanya study kama ya ku involve wataalamu kutengeneza business plan ... hivyo ndugu yetu anahitaji funds ili kuweza ku establish viability and ku execute the business
mkuu ... nakubaliana na wewe 100% ... lakini mtoa mada anajiweka wazi kwamba tatizo lake ni fedha kama input even before starting business
nilivyo muelewa ni kwamba anayo good business idea .... but hana uwezo wa kuendelea kuifanyia kazi idea yake.....mkuu.... hiyo michanganuo uliyoainisha ina gharama kubwa sana kufanya study kama ya ku involve wataalamu kutengeneza business plan ... hivyo ndugu yetu anahitaji funds ili kuweza ku establish viability and ku execute the business
WEWe ndo umenimalizia kabisaaaa:A S cry:Bold: Siyo ujasiriamali huo... na hakuna biashara unayoweza kusimama pekeyako.. aongeze juhudi.. taasisi yoyote ya mikopo lazime ijiridhishe kuwa mkopaji ANA UWEZO WA KUREJESHA MKOPO. Maana yake lazima waone shughuli inayofanyika ndo wakukopeshe..
Nawashukuru sana wote, kila mmoja ana hoja ya msingi, ni kweli kwamba pana mazingira ambazo ni vigumu sana kufuata taratibu sahihi kama mr who care alivyotaja na pengine hata ukaibiwa hiyo idea akauziwa mwenye uwezo wa kuifanya, na financers nao hawawezi toa pesa bila kuhakiki viability ya investment, ushaur wangu kama ni ya nguvu sana sajili umiliki wake kwanza ndipo utafute pesa kwa kuiweka wazi au ubia.
Bold: Siyo ujasiriamali huo... na hakuna biashara unayoweza kusimama pekeyako.. aongeze juhudi.. taasisi yoyote ya mikopo lazime ijiridhishe kuwa mkopaji ANA UWEZO WA KUREJESHA MKOPO. Maana yake lazima waone shughuli inayofanyika ndo wakukopeshe..
Komaaa uanzishe mradi unaozungusha hela... taasisi ndo zitakufuata na si wewe kuzitafuta... hakuna ubinadam katika biashara... hata kama unataka kufanya bishara ya mabilioni... jianglie ulipo, kubali kuanzia chini... taratibu upande juu...!! utafanikiwa tu...WEWe ndo umenimalizia kabisaaaa:A S cry: