tumia uzazi wa mpango tu uwe salamaDr alimuambia ni lactating annorhea ila sikupata nafasi ya kumuuliza swali km kuna uwezekano wa kupata mimba kabla sijaiona hiyo bleed... I'm mean ni yai likikomaa likarutubishwa.
Unaweza kupata mimba lakini muone gynaecologist
Kwa niaba ya madaktari wenzangu, tunasema hivi "huwezi kubeba ujauzito kabla haujaona damu ya hedhi baada ya kujifungua "
Kua na amani mama.
king otaligamba asante japo nina kahofu eti yai likipevuka na kukutana na mbegu ya kiume ndani kwa ndani si nitapata mimba au vipi daktari wangu.
Mie sio mtaalam lakini nakuelewa sana hofu yako. Kwamba siku hiyo yai ndio limeanza kukomaa na kupevuka ili ndio iwe mwanzo wa kuona siku zako ikatokea likakutana na mbegu za kiume si ndio tayari itakua umekamata mimba? Naona wadau wanasema lazima upate siku kwanza ndio uweze kukamata mimba kana kwsmba yai la mara ya kwanza haliwezi kutunga mimba.
Kuhusu kuchelewa kuona siku, kama unanyonyesha vizuri, wengine wanaenda hadi mwaka bila kuona siku, hiyo isikutie hofu.
king otaligamba asante japo nina kahofu eti yai likipevuka na kukutana na mbegu ya kiume ndani kwa ndani si nitapata mimba au vipi daktari wangu.
Ni Kwamba hakuna yai linaloweza kupevuka kabla ya kuona siku zako tangu ulipojifungua. Hakuna mechanism hivyo.
Nikwambie tu. Hedhi haitokani na yai kuharibika. Ila tu Kama yai litakuwa limekuja likakosa mbegu za kurutubisha basi litaharibika baadaye litatoka Kama damu pamoja na hedhi.Tusaidie na sie tusio na uelewa wa haya mambo mkuu. Unposema kuona siku zako baada ya kujifungua si inamaanisha mchakato mzima wa kutengenezwa yai, kupevuka na kutoka kama damu baada ya kukosa kirutubisho?
Swali ni Je, hilo yai la mara ya kwanza haliwezi kutunga mimba?
Nikwambie tu. Hedhi haitokani na yai kuharibika. Ila tu Kama yai litakuwa limekuja likakosa mbegu za kurutubisha basi litaharibika baadaye litatoka Kama damu pamoja na hedhi.
Nikwambie tu. Hedhi haitokani na yai kuharibika. Ila tu Kama yai litakuwa limekuja likakosa mbegu za kurutubisha basi litaharibika baadaye litatoka Kama damu pamoja na hedhi.
Bado tunaongea lugha moja hadi hapo, swali ni Je, hilo yai la mara ya kwanza baada ya kujifungua anaweza kupata ujauzito?