hatari sana awa watuWe una nia kupata net bure au umekuja kuchunguza kama bado kuna loopholes?. Tafuta njia nyingine.
Utakapoanza kutumia internet ya bure hao wanaoziuza watakula wapi,watt wao watasomaje na je, Taifa litapataje maendeleo kupitia kodi ya huyu mtu anauza vfrsh vya internate????Habari wana jf mi n mgeni ninaomba yeyote anaejua jinsi y kutumia intanet bure kweny pc nliona post zaman kuhusu ili suala ila ckuweza kufatilia kwa kina sababu c kuwa na pc. Msaada wenu jaman.