Kupata au kupatwa na ajali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupata au kupatwa na ajali?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by JAYJAY, Feb 15, 2012.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  hivi ni sahihi kusema ''mtu amepata ajali'' au ''mtu amepatwa na ajali'' ninatatizwa na hili!
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Amepata ndio sahihi, maana kitu kinachoonekana ndio kinaweza kupata. Ajali ni tukio hivyo hilo tukio linampata mtu nasio linapatwa na mtu.
   
Loading...