Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
how i wish angekuwepo huyo mume.. zimeniachanisha na the man i love!
Mwenyewe hapa nina hasira balaa
Basi huyo mwanaume hakuwa akijua hii tiba...ninyi wenye hasira hii ndio dawa yenu na huwa mnaweka heshima haswaa a kwa wale wanaowakamua vizuri na wanaojua flirting...

Hapana!!& watu8 we mpana sana.
na ww umemuona eeeh.. basi nami na respond kama namsikiliza doctor vile.. hahaaa
me nakuona tu mwenyewe uko makini kweli,, hutaki somo likupite!!
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
inawezekana una estrogen nyingi kwenye mwilini so unahitaji wa kukupunguza hizo homoni dada angu. tafuta mtu(mwanaume) ambaye unamfeel au kupenda akupe mavituzi hasira zote zitaisha.....ila hakikisha unafikishwa ogasm vingineyo hasira zitazidi tu.
Kama una hasira sana, jaribu kutokuwa mwepesi wa kujibu kitu, kaa kama dakika 30, ukitafakari then hasira zitatoweka!

Wewe ni kwa sababu ya kigugumizi,hayo ni maumbile shem.Mwenyewe hapa nina hasira balaa
Chukulia vitu simple hata kama ni kikubwa na kimekukwaza/kuuma....mambo ya dunia hii huyawezi...the world is not fair!!...act like you dont care....
For sure Aaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhaaaaa I love it . Thanks!