Kupaniki

Kupaniki

Isyaaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
274
Reaction score
62
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
 
Tuko wangu hata Mimi pia. Lakini Mimi huwa Niko hivi kama MTU akiwa anadanganya especially kwenye mahusiano . Hebu tusubiri tutasaidiwaje na wengine. Pole sana. Asante.
 
Ha, not really, and if you believe it, your an idiot believing another idiot
 
Tuko wangu hata Mimi pia. Lakini Mimi huwa Niko hivi kama MTU akiwa anadanganya especially kwenye mahusiano . Hebu tusubiri tutasaidiwaje na wengine. Pole sana. Asante.

Pole mwaya ,, kiukweli hii kitu wakati mwingine sio nzuri,,, ngoja wataalam waje huenda tutasaidika mamy.
 
mkuu uwe unasaga mirungi ukiwa unasaga hii kitu unatulia na unakuwa hupendi fujo ukiona mtu anakuzingua unaondoka zako hii ndio faida mojawapo ya mirungi
 
Ha ha ha ha.....mmmhhhh,sawa bwana.
 
hujasema kupanik kwenye nn labda haswa? mahusiano au every whr? anyway hilo ni pepo kaombewe
 
Subiri nikuitie doctor Mzizi mkavu njoo huku kuna watu, full mahasira
 
Last edited by a moderator:
Huna tatizo la kupaniki bali una tatizo la KuTOKUJIAMINI. Njoo pm
 
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.

Ukiolewa zitapungua hasira zako na ukizaa zitaondoka kabisa
 
Kama una mume basi mgande awe anakupiga miti kisawasawa...hiyo ni moja ya tiba asilia!!!
 
Mmmmmhhhh mpya hii. Since when ? Mara ya mwisho nilipocheki in the medical book sijaona. Aaaahaaa aisee kuna mambo humu ndani. Haya.
 
Kama una hasira sana, jaribu kutokuwa mwepesi wa kujibu kitu, kaa kama dakika 30, ukitafakari then hasira zitatoweka!
 
Back
Top Bottom